Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,928
Wimbo wa Bara la Afrika hatimaye umetoka... Ni wa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi Barani Afrika...
Hii ni hatua kubwa na muhimu kwenye kuikuza, kuieneza na kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili.. Pongeni ziende kwa wote ambao kwa njia moja ama nyingine wamefanikisha hili
Kwa Kiswahili kutumika kwenye wimbo rasmi wa muungano wa Africa ni hatua kubwa kwa Tanzania na Tanganyika kujitangaza na kutangaza fursa na mambo yote yaliyopo na yajayo!
Je ROYAL TOUR ina mchango kwenye hili!?