Imekumbukwa TANU na Tanganyika ikumbukwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imekumbukwa TANU na Tanganyika ikumbukwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHIBUU, Jul 7, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Nimeshangazwa kuona viongozi wa ccm inapofika siku ya uhuru wa tanganyika hujidai kuwa ni uhuru wa tanzania,kwa kweli nashindwa kuelewa,tanzania imejipatia uhuru siku gani ? Sasa hivi kuna mzozo wa muungano wazanzibari tunadai muungano uvunjwe au tuje na mfumo ule ume wa serikali tatu,mbona kikwete sijamsikia kuikumbuka tanganyika .

  Hii tanganyika watanganyika imewafanya nini ? Na kama tanganyika ndio hii tanzania tuwambieni ili tuweze kuunda serikali mpya ya muungano kwani hii tanzania kwa kuona kwangu ni tanganyika.
  1613330.jpg Nembo hii sasa tunatumia kuwa ya muungano tanzania jee hapa kuna kiini macho kuwa tanzania ni hii tanganyika ?

  9440474.png Nembo hii sasa tunatumia ndio ya tanzania,si ndo ile ile ya tanganyika ?

  Watanzania na wazanzabri naomba mulichambue hili suala,munawafiki kama serikali ya muungano wa tanzania ni ile ile tanganyika au ni tanzania mpya ?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hivi hii Tanganyika ninyi Wazanzibari imewafanya nini? Tanganyiko ipo live ndani ya Tanzania. Huoni?
   
 3. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe huna macho? hiyo ni nembo ya CCM, na rangi zake unaziona ni uthibitisho wa hilo. Chadema hawana chao hapo.
   
 4. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  haha ahsante kaka

  Hata ukiangalia bendera ya tanzania ni ya ccm.
  Nembo ya tanzania ya ccm

  Nafikiri sasa hivi tulete hoja tuirudishe tanganyika ikiwa inawalilisha wananchi wote na nembo,bendera,passport zisitumike rangi za vyama vya siasa ikaonekana kuwa serikali ni chama fulani.

  Hata serikali ya muungano vile vile.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nashauri Chadema waandae siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika 1961.
   
 6. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi sherehe za TANU huwa zinafanyika kila mwaka? maana nimeona mkesha usiku wa kuamkia leo tukaambiwa ni sikukuu ya TANU. Au ndo CCM kishapoteza mvuto kiasi cha kuitamani Tanu? Sikukuu ya ASP itakua lini?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi naona CCM wanasweweseka tu hawajui wapi pa kuanzia sababu wameshaharibu kila kitu. Wanadhani wakikumbusha mambo ya TANU watu wata sympathise nao HAKUNA hapa CCM mmetutia umaskini sana Kizazi hiki hakijui sijui TANU sijui ASP tunachojua ni kwamba CCM ni wezi, ndio tena wa mali ya umma. hebu angalia alichofanya chenge! ni kweli kinakubalika?
   
 8. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Kijana wa leo mwenye uchungu na nchi yake hatoenda sherehe ya TANU,hiii inaonyesha kuwa sasa kuna haja ya kuikumbuka tanganyika na kuifufua tanu,washajua kuwa muungano unaenda na maji,serikali ya muungano imeapa kuulinda kwa nguvu zote,na wazanzibari wanasema hwatishi na sauti ya nyao muungano tutauvunja.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,069
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Hata rangi ya TANESCO ni CCM, ndio maana kila siku wanafanya madudu kutokana na laana ya Rangi wanazotumia.

  Sitashangaa hata Yanga ikishindwa kuifunga Simba kutokana na rangi zake kulaaniwa
   
Loading...