Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Nyie binadamu mna pesa aiseeeh

Natamani nipate maisha kama yenu niwe na pesa mingi mingi na wabebi wengi warembo warembo.
🀣🀣🀣 hatuna pesa ila hizo sate ndo tunazo uongo dhambi
 
Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema β€œwaooooohhhh thank you beb”.

Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda na watu anao date nao yeye ndo tatizo.
 
Tafuta zako za kuhongwa ziwe za ziada shosti, ukizoea kuhongwa utaombwa mpk visivyoombeka!!! Si unajua km wanaume ni mbwa?! Utapigwa dog hata usiku wa manane na huna cha kumfanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu naomba niwacheeee.
 
Kabisa jirani!! Nowadays hakuna mwanaume anahonga mwanamke asiye na pesa.
Kifuatacho ukipewa ni kuombwa kwa mama kibonge kwa mbele kule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu naomba niwacheeee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umelala umechoka unaamshwa uchume mboga kisa visenti vyake alivyokupa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka had baas.
 
Weeee
Sema kweli πŸ˜…

Ila akipata size Yake itabana tu
Usisahau Kuna wanaopenda inayopwaya pia....πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Mama Mchungaji 😳😳😳

Ni wewe huyu au kuna mtu ulimwachia simu? πŸ˜πŸ˜πŸ–
 
Aliishia wapi yule wa sate thausandi?

Labda uje ubadilike lakini ukiendelea hivi hata huko peponi utatolewa mkuku tu 😁
Hajatokea kujibu tuhuma mpk leo nitamcheck baadae km yupo active 🀣🀣🀣

Peponi malaika watanifurusha mana nitakua na umbea mwingi wa kuwauliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…