Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Alisema hata zungumzia hili swala nadhani hapa walipo mshika uzalendo utamshinda,ngoja kesho ifike tusikie
 
Kumtukana pengo kunahusianaje na mali zake ? Je mbona bungeni wanatukana hamuwaiti mkawahoji, gwajima haogopi mtu wala serikali anachofanya ni utii kwa polisi lakini polisi kibao kinawageukia kama elimu zenu si.form two mtoe kifungu kuonyesha kwa kosa hilo wapi kifungu cha sheria kimeandika alete mali zake , anza wewe makengeza kova kwanza kutangaza mali zako ndo uulize wengine. Hii ishu itakurudia kova na jeshi lako maana hutapata pa kushika na utajidhihirishia kwamba wewe huna uwezo wa kuongoza na jeshi lako ni zero kabisa. Kuna ishu za ku deal nazo miaka mingi ma albino wanakufa na usalama wa mali zao kazi hufanyu umebaki kunsakama gwajima , utaona kibao kinakugeukia.
We kweli ndio unaonekana ziro kichwani.
Ukiambiwa Gwajima ni lodi la madawa ya kulevya utasemaje?
Halafu mtu akianza kukashifu watu wenye heshima si lazima umchunguze jeuri hiyo anaitoa wapi?
Kuonyesha kuwa ni ziro kichwani unalinganisha wabunge na Gwajima, Gwajima hana kinga ya kutoshitakiwa akikashifu.
Abebe msalaba wake.
 
Gwajima alimzushia uongo CAG, sasa wakati umefika wanao jua yao, wafanye yao

Roho za mashetani ndio pekee hubariki uovu katika jamii; wakifanya afanyavyo Gwajima wanatenda lipi la zaidi? hatuweki serikali madarakani kukurupuka na kutendea raia unyama bali watawale kwa mujibu wa sheria
 
You bastard...!! can u separate insulting Pengo & RC..?

Can u insult JK in public ukasema hujamtukana RAIS wa nchi au mwenyekiti wa CCM...?

Do you know who is CARDINAL...!!? kima wewe...!!!

Unaweza mtenganisha PENGO NA RC...!!? Ndio utajua sasa RC ni nn..na Gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....Gwajima hakuitukana serikali...alimtukana Pengo...Pengo is RC to genes...sasa kwnn SERIKALI INAMMALIZA..!!? huelewei ww pimbi...RC ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!

Achana nae hajielewi huyo.
 
Kijana acha kuleta uongo hapa.
Hakuna kanisa wala msikiti, taasisi za dini zinazofanya hesabu na kupeleka huko unakosema.
Labda dini zenu za NEW AGE MOVEMENT.

d
Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.

Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.
 
Haishangazi Gwajima akishambuliwa maana hata Yesu alikejeliwa.. Kwamba anasaidia wengine naye ajishushe msalabani.. Ila kwa taarifa tu mjue hakuna Wa kumzuia aliyetumwa na BWANA.. Na wote mnaomdhihaki zimebaki siku chache mtakuwa waumini wake tena kwa kubembelezwa.. Hicho kiganga unachokitegemea kinafyekwa utakapoanzwa kushambuliwa utaileta miguu mwenyewe Kawe..
 
.... anatakiwa hadi ataje nduguze walofariki- si dhihaka hiyo? mahojiano gani hayo? itakuja hadi 'walikufaje' wakati Mungu ndio anajua.. ndio maana anazimiazimia- 'jiweke kwenye nafsi yake' uhojiwe hivo..
 
Rc ni dini tu.. Gwajima ana Yesu.. Wewe shabikia dini yako isiyokutoa hata nuksi.. Hakuna wa kumzuia Gwajima.. Dola ya urumi haikumzuia Yesu kufufuka.. Endelea kushabikia dini huku umejaa laana za familia na ukoo.. Umefunikwa kichawi.. Kila siku unawatafuta wanajimu wakutabirie yajayo na kukusafishia nyota kumbe wanakuongezea laana, mikosi, nuksi na balaa..
 
RC ni dini???????
 
Misukule ipo mingi sana humu! kwanini Gwajay asijiunge jukwaani aitoe ....ishakua kero inaropokaropoka sijui ndo pumba zimekolea
 
kutukana na kugombana hadharani ni kosa kisheria kwa mbwajina ana kujibu isitoshe ushahidi upo kwa ya mungu apewe mungu na ya kaisari apewe kaisari mwacheni awajibishwe sababu amevunja sheria wala msisingizie pengo wala nani mchawi ni mbwajina mwenyewe
 
mkuu Pampula jr naona umembatiza jina jipyaaa sealed kabisa
 
Last edited by a moderator:
You Bastard!!!! can you separate UGAIDI na UISLAM???? wewe ni jinga sana huwezi kulinganisha hivyo mambo.
You bastard...!! can u separate insulting Pengo & RC..?

Can u insult JK in public ukasema hujamtukana RAIS wa nchi au mwenyekiti wa CCM...?

Do you know who is CARDINAL...!!? kima wewe...!!!

Unaweza mtenganisha PENGO NA RC...!!? Ndio utajua sasa RC ni nn..na Gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....Gwajima hakuitukana serikali...alimtukana Pengo...Pengo is RC to genes...sasa kwnn SERIKALI INAMMALIZA..!!? huelewei ww pimbi...RC ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!
 
Chongeni sana.. Kawe miguu mtaileta.. Wako waliomtukana Yesu lakini pazia lilivyopasuka wakakiri ni mwana Wa Mungu.. Sembuse nyie??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom