Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.
Mpaka aguswe Gwajima ndioujue nchi inamatatizo ya kuuwawa kwa albino escrow na mengineyo? Kama helkopta imeingia kihalali shida yako nini? Subiri uchunguzi ufanyike acha kuweweseka. Ukiambiwa uthibitishe kuwa amewekwa kwenye orodha ya viongozi wanaotakiwa kufa unaweza?
 
Tatizo nn kwani ili kuondoa utata awapelekee hizo nyaraka wanazotaka kuhoji ni kazi yao wala hawajakosea
 
Leta uthibitisho wa tafiti zako juu ya % za umaskini wa waumini siyo unakunya tu unayoyajua mwenyewe, Catholic Ni dini ya mashetani hata wangeungana na selikali zote Duniani hawawezi kumpoteza Gwajima, yule Ni mtu aliyetumwa na Mungu kuzipindua falme za mashetani ikiwemo Catholic, hivyo humumwezi hata mfanyaje. Hilo la umaskini Ni uongo mtupu na uozo wa ubongo wako, viongozi na wafanya biashara wakubwa wa Japan I,uingereza,marekani,south afrika nk Ni waumini wake wewe umeshafanya tathmini mpaka kwenye mataifa hayo? Malizia hicho unachofanya kwanza ndo utaweza kutafakari vizuri, Gwajima hafanani na wewe wala viongozi wako viazi
Wewe mkewe nini? Mbona unatokwa na ute mweupe? Unaonekana umetoka mwezini, jua lipo karibu na sayari gani nyingine?
 
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.

Mkuu hata ukibwabwaja vp,watu tuliskia maneno yake ya kiburi juu ya serikali,alisema haogopi polisibwala serikali wala bunge,yeye ndo alianza kuichonoa serikali ambayo ilikuwa kiiiimya,kwa ujinga wenu badala ya kueleza ukweli kuwa busara yake ndogo,uropokaji wake,ulevi wa tujihela alitopata kimagumashi,ndo vimemuingiza matatizoni,huyo jamaa ni bonge la mbumbumbu na limbukeni,hebu jiulize mtu mwe akili timamu upo madhabahuni walinzi wa nini tena wanafuatisha kila analofanya,kale ni kakichaa kanakotokana na mafanikio ambayo mtu hakuwahi kuota,ndo maana akajiona mkubwa kuliko pengo na kuliko serikali,japo ni kiongozo wenu ila msiamini mpaka offside,maanachata ujinga alofanya hamuuoni mnakalia blabla tu,
 
Leta uthibitisho wa tafiti zako juu ya % za umaskini wa waumini siyo unakunya tu unayoyajua mwenyewe, Catholic Ni dini ya mashetani hata wangeungana na selikali zote Duniani hawawezi kumpoteza Gwajima, yule Ni mtu aliyetumwa na Mungu kuzipindua falme za mashetani ikiwemo Catholic, hivyo humumwezi hata mfanyaje. Hilo la umaskini Ni uongo mtupu na uozo wa ubongo wako, viongozi na wafanya biashara wakubwa wa Japan I,uingereza,marekani,south afrika nk Ni waumini wake wewe umeshafanya tathmini mpaka kwenye mataifa hayo? Malizia hicho unachofanya kwanza ndo utaweza kutafakari vizuri, Gwajima hafanani na wewe wala viongozi wako viazi[
Tulia uone ni mpakato gani utatumika
 
Ni sheria ipi aliyoivunja Askofu gwajima??
Uaskofu wa Pengo una lipi la maana kumzidi Gwajima hadi asikemewe. Huyo Pengo katika historia ya utumishi wake katika dini ulishawahi kusikia popote pale ameombea hata mtu mwenye kajini maimuna tu kakatoka!!??

Na kama kweli we siyo LINAFIKI na unataka sheria za nchi zifuatwe mbona hauonekani kutaka MAJIZI ya EPA, KAGODA, DEEP GREEN, RADER, NDEGE YA RAIS, BUZWAGI, MISHAHARA HEWA na ESCROW yafikishwe kwenye vyombo vya sheria

Maskini kipofu wa imani huyu anadhani miujiza ndo kipimo cha utakatifi wa mtu,au na kuwazini wake za watu nayo ni kipimo cha utakatifu wa mtu,kutoa mapepo kuna watu watu wanakemea na kuyatoa na wala hawana kanisa wala hawajiiti maaskofu,km kweli yeye ni mtu wa mungu,mbona anahangaika na walinzi na mawakili wa dunia hii,kwa nn asimtegemee mungu tu,inamaana kwake wanadamu wananguvu ya kumlinda na kumtetea zaidi ya mungu?,afu mtu mwe kiwango kidogo cha imani kwa mungu namna hii mnamuita mcha mungu,mmerogwa nyie
 
Bwana Yesu alisema; Hata milango ya kuzimu haitaliweza kanisa lake. Msiogope, mipango mingi tu imepangwa ya kuangamiza kazi ya Mungu hapa Tz lakini, mipango hiyo haitafanikiwa kabisa.
Ataangushwa Gwajima, atainuliwa mwingine. Kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu, hatafadhaishwa na yatakayo mpata. Wapo waliodhani kuwa wameachwa kumbe ni kipindi chake kilipita, kikaja kipindi cha wengine.
Nyiye watoto wa Ibilisi, msishangilie sana kuangushwa Gwajima, huenda alikuwa anazuia moto mkali zaidi. Neno la Mungu halifungiki, watapita wengi tu wataliacha
 
Huyu Gujima/ Gwajima anatumia kitu gani mpaka watu wanakuwa vipofu namna hii?
Yani pamoja na busara finyu alizoonyesha kwa maneno aliyotoa lakini bado wafuasi wake tena wana akili timamu wanaendelea kumuunga mkono bila kupima. mtu kama kiongozi wako anaropaka hivyo ila bado wamuunga mkono mpaka maandamano!! Nadhani kuna jamboa anawafanyia si bure nyie. Ona sasa walet mada ya kulalamika eti, badala ya kushukuru kuwa sasa ntaendesha kanisa wenywewe kwa kufuata haki unaanza lalamika,
Misukule mkuu huwa haini macho wala haielewi, inajua tu imefufuliwa so inataka kulipa fadhila za ufufuo kwa kijitoa muhanga
 
Maswali ya mapato na matumizi yatawasaidia hata waumini kujua je yale magari ya kifahari na helkopta ni mali za Gwajima au za kanisa? kama za Gwajima binafsi pesa katoa wapi za kununulia katumia sadaka za waumini au vipi? Kama katumia sadaka za waumini kununua magari na helkopta na kuisajili kibinafsi ni makosa.

Maswali yale pia yatatoa mwanga yale mamilioni ya sadaka zinazokusanywa huwa zinatumika kwa kitu gani ni kwa ajili ya manufaa ya kanisa au Gwajima na viongozi wenzie tu?

Polisi waachwe wafanye kazi yao mwisho wa siku hata waumini wa kwa Gwajima watakuja kushukuru kwa kazi nzuri ambayo polisi wamefanya kazi ambayo isingekuwa rahisi kwa waumini wa Gwajima kuhoji maswali kama ya mapato na matumizi na mali alizonazo maana wangeishia kuwafukuza kanisani kwa kuwaambia kuwa wana misukule mipya ambayo haifai kutolewa zaidi ya kuwatimua kanisani.

Umeongea jambo kubwa sana mkuu,kazi ya kuwaokoa watumwa na mateka wa hila potofu huwa hazieleweki mpaka kazi ikamilike na watumwa kuwekwa huru ndo watu hufumbua macho,acheni polisi wamalize operesheni fukua wanafiki ndo mtaelewa,hata kae DESI mlipiga kelele hvhv ila baadae mlielewa
 
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.

Asante kwa kututoa tongotongo ila Mungu ni wa wote na siku moja tulizaliwa na siku moja tutakufa hakuna ajuwae salio la kesho.
 
mkuu tafuta kwanza biblia uisome ili uelewe Kazi ya sadaka ni nn?biblia inaagiza wanaohubiri injiri wale injiri.m

Na biblia inakataza ulafi,anachofanya gwajima cyo kula mazabahuni ni ulafi mazabahuni,huyu nilafi na fisadi wa jasho la maskini wajinga wanaopenda kupata mafanikio kimiujiza na si kwa kufanya kazi
 
Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.

Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.

Mh si kweli hata kidogo mimi ni mluther na katika juma huwa kuna matangazo yanayosomwa usharikani na garama zoote huwa zinaowanishwa kutokana na sehemu zitakapo kwenda kutumika sijawahi sikia fungu fulani ni kwa ajili ya kuilipa t.r.a au sehemu yeyote ile ya serikali mpeni Mungu yaliyo yake na kaisari yalio ya kaisari.
 
Acha kuongea upuuzi wewe kwani Gwajima alikemea kanisa la Rc? Au alimkemea pengo na ulitembelea waumini wake ukakuta wanakula mlo mmoja? Sijui umekula maharage ya wapi wewe

Sasa we mtoto wa Gwajima unatokwa povu la nini?,km baba ako alisema anaagiza malaika waka mshugulikie pengo,ameshindwaje kuwaagiza malaika wamlinde na kumtetea hadi aweke mawakili?,afu milipaswa kumuuliza mbona yale maagizo alowapa malaika hawajaitekeleza kwa pengo ila wameitekeleza kwake?
 
Kimsingi huyo askofu wenu ni mtu wa tamaa, ni mjinga na hana maono.
Yohana mbatizaji aliishi jangwani na kuhubiri watu na kuwabatiza.
Huyu Gwajima katika karne hii ana nunua helikopta na magari ya kifahari zinazodhihirisha tamaa.
Minong'ono ya Flora Mbasha tu haijaisha.
Kanisa hajajenga

Sasa siye wananchi wengine lazima tujue hiyo kiburi anaitoa wapi.
Sheria za nchi lazima ziheshimiwe

Mkuu umenena vyema sana ila watu wanasahau biblia imesema mafanikio ya MPUMBAVU yatamuangamiza,ndo kinacho mkuta huyo askofu wa kujipa
 
Naomba mungu awape polisi wepesi nguvu na haki ktk kutekeleza hili,maana yamkini huu ukawa mwanzo wa kuwaumbua wanaofanya ukristu utukanwe na kudharaulika kwa matendo yao dhalimu,maana wengi wamejivika majina makuu km uaskofu,unabii,utume nk km ngozi ya kuficha maovu yao,na hivo kufa jina lako likashifiwe kristu ingilia kati kuwaumbua mbwa mwitu hawa walovaa ngozi za kondoo,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom