Dahhh but Pongezi kwa designer maana wabongo wangeanza kuchola mazao ramani makazi biashara na watu humo
😄😄😄Dahhh but Pongezi kwa designer maana wabongo wangeanza kuchola mazao ramani makazi biashara na watu humo
Money talk ... Hiyo pesa isharudiMpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa.
Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya na Wamelipa kiasi cha dola za kimarekani $305,000 Kwa designer mjapani aitwaye Kenya Hara
View attachment 1746621
Nahisi walikuwa wanatafuta attention ya watu kwa ajili ya kuuza bidhaa waliyoizinduaMoney talk ... Hiyo pesa isharudi
I agree .. meneja / consultant wao wa social media ana akili sanaNahisi walikuwa wanatafuta attention ya watu kwa ajili ya kuuza bidhaa waliyoizindua
Nauza vitu vyangu nianze hii kazi.Umasikini mbaya sana nimetumiwa 15000 nidizain logo ya mjasiliamalina maelekezo dunia nzimaView attachment 1746679
Ingekuwa ameianza mwanzo labda kwa kiasi hicho sio mbaya ila ye kairudia ile ya mwanzo kwa kuweka round-corner kwenye shapeKazi kwelikweli, hivi kuchora tu kapicha kadogo kama hako ndo pesa nyingi kiasi hicho? Kwani huto tupicha huwezi kuchora kwenye Microsoft office?? Nauliza tu wataalamu
Kwani kwa kawaida huwa unachaji sh ngapi?Umasikini mbaya sana nimetumiwa 15000 nidizain logo ya mjasiliamalina maelekezo dunia nzimaView attachment 1746679
Hapana hiyo ndio itakuwa lifetime logo..logo za biashara kubwa huchukua muda sana kukubaliana ndani ya kampuniNahisi walikuwa wanatafuta attention ya watu kwa ajili ya kuuza bidhaa waliyoizindua
Hapana unahitaji graphic designing software, ambayo unaweza kutengeneza vector designs. (Vector design ni design ambayo unaweza kuiprint kwa size yoyote bila kupoteza quality. mf. unaweza print logo hata ikakaa kwenye zile billboards kubwa barabarani) Microsoft word ni word processing software kwa hiyo haifai.Kazi kwelikweli, hivi kuchora tu kapicha kadogo kama hako ndo pesa nyingi kiasi hicho? Kwani huto tupicha huwezi kuchora kwenye Microsoft office?? Nauliza tu wataalamu
Hahaha!! Basi watakuwa wamemcheleweshea jamaa mpunga wake 💵💵 maana ni two years.Hapana hiyo ndio itakuwa lifetime logo..logo za biashara kubwa huchukua muda sana kukubaliana ndani ya kampuni
Wabongo bado hatujajua thamani ya vitu kama hivi, na graphic designer wanazaliwa kila siku na hawajui ethics za hii kazi.Umasikini mbaya sana nimetumiwa 15000 nidizain logo ya mjasiliamalina maelekezo dunia nzimaView attachment 1746679
Hapana wanachuaga advance kwanza na competition ni kubwaHahaha!! Basi watakuwa wamemcheleweshea jamaa mpunga wakemaana ni two years.
Sawa nimekupata mkuu. BlessHapana wanachuaga advance kwanza na competition ni kubwa