Imechukua Miaka mitatu Kuredesign Hii logo ya Xiaomi na Imegharimu $305,000

nakashari

Member
May 22, 2019
90
71
Mpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa.

Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya na Wamelipa kiasi cha dola za kimarekani $305,000 Kwa designer mjapani aitwaye Kenya Hara

Xiaomi.png
 
View attachment 1746621
Money talk ... Hiyo pesa isharudi
 
Kazi kwelikweli, hivi kuchora tu kapicha kadogo kama hako ndo pesa nyingi kiasi hicho? Kwani huto tupicha huwezi kuchora kwenye Microsoft office?? Nauliza tu wataalamu
 
Kazi kwelikweli, hivi kuchora tu kapicha kadogo kama hako ndo pesa nyingi kiasi hicho? Kwani huto tupicha huwezi kuchora kwenye Microsoft office?? Nauliza tu wataalamu
Ingekuwa ameianza mwanzo labda kwa kiasi hicho sio mbaya ila ye kairudia ile ya mwanzo kwa kuweka round-corner kwenye shape
 
Kazi kwelikweli, hivi kuchora tu kapicha kadogo kama hako ndo pesa nyingi kiasi hicho? Kwani huto tupicha huwezi kuchora kwenye Microsoft office?? Nauliza tu wataalamu
Hapana unahitaji graphic designing software, ambayo unaweza kutengeneza vector designs. (Vector design ni design ambayo unaweza kuiprint kwa size yoyote bila kupoteza quality. mf. unaweza print logo hata ikakaa kwenye zile billboards kubwa barabarani) Microsoft word ni word processing software kwa hiyo haifai.
 
Umasikini mbaya sana nimetumiwa 15000 nidizain logo ya mjasiliamalina maelekezo dunia nzimaView attachment 1746679
Wabongo bado hatujajua thamani ya vitu kama hivi, na graphic designer wanazaliwa kila siku na hawajui ethics za hii kazi.
Kutengeneza identity ya firm ama company siyo mchezo.
Try to imagine 15,000 ni pesa ndogo sana, hata jeans moja hainunui.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom