kwa nn unasema kama walemavuWanaume bwana, kama walemavu.
kwa nn unasema kama walemavuWanaume bwana, kama walemavu.
Ni sawa. Lkn huyu ndugu yetu kasema alionyeshwa akaenda moja kwa moja kutoa posa akaoa, sidhani km alipata muda wa kumjua vzr. Hata hivyo amesema tabia zake nyingine ni njemaInategemea kuna wachumba wengine wanaishi pamoja kabla ya Ndoa hivyo ni rahisi kila mmoja kujua tabia ya mwenzake japo kidogo.
Unapend sana K kaisi kwamba anakuona wrwe ni mtumwa wa K na anakuendrsha, ona pamoja na tukio hilo bado unalalamika eti alikunyima Nyama yake, ulitaka akupe wakati umelisha ugali mkavu?Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
mmh! Kumpokea mtu au kumpa pole mtu au hata jiraji katoka kazini ni Umwinyi??Namshukuru wangu hapendi umwinyi aisee
Ungeoa mTanga angekupokea na kukubeba mgongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
mmh! Kumpokea mtu au kumpa pole mtu au hata jiraji katoka kazini ni Umwinyi??
Tunawapokea majirani vipi kuhusu mke au mume wako??
Dunia hii ina mambo.
Kabisaaaaaa.Si ufyatue watoto mkuu watakuwa wanakusubiri stendi kabisa kukupokea
Kabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
Keshasema kanyimwa papupuchi labda akafyatue kwa demu mwingine.
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Sema naona kuna shida hapo?.Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Hongera pia kwa kuwa na kichwa kama karanga kinachopita ndege juu yakeKabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
homgera sana mkuu inaonekana my wife wako yuko vizuri....acahana na hawa wafangaji wanaona kumpokea mtu eti ni kupenda umwinyi.Kabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
Mkuu unenichekeaha sana, kuna jibu moja katika hayo ni sahihi.Mke Wako Itakuwa Either 1, Amelelewa Na Single Mother 2, Amelelewa Kwa Bibi 3, Amelelewa Na Mama Wa Kambo Au Pengine Umemuoa Akiwa Na Umri Mkubwa
Kweli mkuu hakuna kitu ninakipenda sana duniani zaidi ya papuchi yaani hakuna. Ila nimekwambia kuwa maeneo mengine yuko vizuri tatizo ni hili tu la kutonipokea, hili kweli ndo livunje ndoa duuuh.Unapend sana K kaisi kwamba anakuona wrwe ni mtumwa wa K na anakuendrsha, ona pamoja na tukio hilo bado unalalamika eti alikunyima Nyama yake, ulitaka akupe wakati umelisha ugali mkavu?
Jiangalie dogo hiyo ndoa haitafika mbali kwa mafanikio