Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!

Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!

Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
Sakayo unachotetea ni nini hasa?!!
 
Sijatetea mkuu!
Hoja yangu ni, mleta mada aliiona tabia toka kitambo na akashindwa kuirebisha mpaka imekuwa sugu!
Huyu atakaa sawa tu na saivi nitampanga jirani makusudi nimpe mboga halafu aaniletee mm kibakulini ntakula mm yy atakula bila mboga
 
Here Comes 'The Super Story' - By Wale Adenuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwe Kwe Kwe Kwe Kwe Kwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachumba hawaishi pamoja dada. Utazijua tabia za mtu pale mtakapoanza kuishi pamoja rasmi. Uchumba Raha sana kila mtu pretender
Inategemea kuna wachumba wengine wanaishi pamoja kabla ya Ndoa hivyo ni rahisi kila mmoja kujua tabia ya mwenzake japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…