Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

View attachment 1401235
Huyo Kiumbe Kwa Watu Wa Kigoma Wanaamini Iwapo Ukamuona Ni Ishara Kuwa Kama Una Mke Ujue Ana Mimba Ama Ndugu, Jamaa, Rafiki Yako Wa Karibu

Sasa Akiwa Mnene Sana Huyo Mantis Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto Wa Kike. Akiwa Mwembamba Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto Wakiume
Huyu anaitwa kikokota mtinko
 
Jamani kuna imani nyingine tuziache tuu maana sitasahau huyo mdudu alitaka kusababisha nivunjike mgongo. Nilikua juu ya mwembe wakati nataka kushuka akawa sehemu ambayo ni lazima nikanyage hapo ndo niweze kushuka chini aisee niliruka toka juu nikaangukia mgongo sitasahau kisa na mkasa eti walituaminisha akikuona anaingia puani mpk aje shangazi yako kukutoa la sivyo unakufa. Nakumbuka nilikua drs la pili.
 
😁😂😀😅😄😃😃😂😂😍😀😀Pole Sana, Yayokukuta Makubwa
 
Vunja Jungu huyu...

Hatari.... Nimeshangaaa... Mjusi katafunwa...Hahahahaaa....

Huyo mwamba ang’ati sema ni kwa defense na kuwinda hupendelea kula nyama lakini hula pia na majani mjusi kayavagaa tu
 
IMG_20201012_101332_1.jpg
IMG_20201012_101359_3.jpg

Nimekutana nae live Sasa hapa Nani mjauzito wife najua hana Sasa Nani huyu mtu wangu wa karibu Alie mjamzito wacha nisave tarehe yaleo then tuone baada ya miez nane ijayo itakuwaje

12-10-2020 10:20am Aim mall Ars
 
Sisi tumekuwa tunaaminishwa huwa anarukia puani ( Nostrils ) ukimletea zengwe
 
Back
Top Bottom