Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
61,916
Reaction score
75,148
images.jpeg.jpg

Huyo Kiumbe Kwa Watu Wa Kigoma Wanaamini Iwapo Ukamuona Ni Ishara Kuwa Kama Una Mke Ujue Ana Mimba Ama Ndugu, Jamaa, Rafiki yako wa karibu.

Sasa Akiwa Mnene Sana Huyo Mantis Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto Wa Kike. Akiwa Mwembamba Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto wa kiume
 
Anang'ata na anapiga mateke yenye miba.
Kuna video nimeona you tube amemdaka nyoka alietaka kumla asee huwezi amini nyoka alikata shingo
Lies. Hizo features alizonazo zina act tu kama intimidation kwa predators lakini sio kweli kwamba anaweza kuua nyoka kwa kumkata.

Kama ni kweli weka video yako hapa. Usikute umeangalia animation alafu unaongea kwa kujiamini.
 
Tulikuwa tunatishana ukimuua vunja chungu na vyombo vya udongo vya kwenu vyote vinavunjika..nimeua Sana na hakuna chombo kilichovunjika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliambiwa ukimfunika na chungu anakipasua anasepa.

Kimbembe ikawa chungu cha kufanyia jaribio,kikivunjika nitasemaje.basi ikabidi tu nitulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lies. Hizo features alizonazo zina act tu kama intimidation kwa predators lakini sio kweli kwamba anaweza kuua nyoka kwa kumkata.

Kama ni kweli weka video yako hapa. Usikute umeangalia animation alafu unaongea kwa kujiamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom