Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Ukimshika au kumgusa tu, lazima wiki hii upate pesa za kutosha
Baada ya kuuona huu uzi imebidi nitafute comment yoyote ya namna hii,,

Mi nikiona huyu mdudu Basi deal zangu za hela huwa njema sana, hata pasipo kumgusa (Kwanza namuogopa) akiwa mdogo na hela huwa ndogo akiwa mkubwa hela huwa ndefu ndefu, nisipopata Mimi Basi nyumba niliyomuonea watazipata tu
 

Huyo Kiumbe Kwa Watu Wa Kigoma Wanaamini Iwapo Ukamuona Ni Ishara Kuwa Kama Una Mke Ujue Ana Mimba Ama Ndugu, Jamaa, Rafiki yako wa karibu.

Sasa Akiwa Mnene Sana Huyo Mantis Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto Wa Kike. Akiwa Mwembamba Mkeo/Mjamzito Atajifungua Mtoto wa kiume
PRAYING MANTIS, jina linatokana na mikono yake kuwa kama mdudu anayesali.
 
Jamani kuna imani nyingine tuziache tuu maana sitasahau huyo mdudu alitaka kusababisha nivunjike mgongo. Nilikua juu ya mwembe wakati nataka kushuka akawa sehemu ambayo ni lazima nikanyage hapo ndo niweze kushuka chini aisee niliruka toka juu nikaangukia mgongo sitasahau kisa na mkasa eti walituaminisha akikuona anaingia puani mpk aje shangazi yako kukutoa la sivyo unakufa. Nakumbuka nilikua drs la pili.
So aliangalia papuchi yako toka kwa chini?
 
Back
Top Bottom