Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

Lies. Hizo features alizonazo zina act tu kama intimidation kwa predators lakini sio kweli kwamba anaweza kuua nyoka kwa kumkata.

Kama ni kweli weka video yako hapa. Usikute umeangalia animation alafu unaongea kwa kujiamini.
Sasa kwa taarifa yako huyo mantis ni predator anawinda na kula nyoka........
 
Kama Unampa Mtoto Uji Halafu Anagoma Kuunywa Si Unazaba Kofi Moja Ili Abugie Uji Vizuri!😁😀😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Mie sikuwa napigwa

Ni huyo tu ilikuwa dawa yangu
 
Anang'ata na anapiga mateke yenye miba.
Kuna video nimeona you tube amemdaka nyoka alietaka kumla asee huwezi amini nyoka alikata shingo
Nyoka au mjusi!?!.
Nishaiona video ila kamkamata mjusi akamla siyo nyoka. Tuwekee hapa
 
😁😂😅😄😃😀😁😂
 
Back
Top Bottom