Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Status
Not open for further replies.
Magaidi yatamaliza Africa..wamepata hifadhi huku Africa sababu serikali za nchi nyingi hapa Africa nni dhaifu. Tanzania haitakuwa salama kwa kuogopa kupambana na ugaidi nchini

Tucpende kuhukum kwakile tuccho kijua kwaudani.
 
Hata kenya walikua wanafurahi sana akina rogo wanapouliwa lakini kibao kilipogeuka wamerudi na kupunguza ushabiki wa kijinga.

wewe uelewa wako ndio unakasoro. Tuliwapiga rgo risasi kwasabu walishinda wakiwauwa watu. Afadhali tufe kama tumesimama kushinda tuishi kwa magoti. Hatutamwogopa Jangili na Gaidi walio na itikadi za mashetani. Kwani yeye ana Mak*nde mangapi? Hahaha...
 
Kifo kwa mwanadamu ni jambo la lazima,hata wewe utakufa.

Hamna shida bana; kwani hao maabudu shetani wanpowafundisha wengine kuwauwa wenzao wao hufikiria ya kuwa hawatakufa? Wacha wao wafe! Si hich ndicho wao hutafuta? wamepata basi - tatizo liko wapi?
 
Hata wewe si mtu wa maana na utakufa,afadhali yeye kafa kifo cha heshima,wewe utakuja kufa kama paka mwizi.
.......yeye kafa kama paka gani? au kafa kama paka shume? aha ha ha ha ha!! Kuna taarifa nimeipata kwamba alifanyiwa kama wale masheikh wa Zanzibar, eti kweli?

"Rest In Pieces" Gaidi!!
 
Siku hizi kenya wameshika adabu kweli,wanachinjwa kama kuku wako kimya,chezea magaidi .
.......Aha ha ha ha! Na sisi tunawafanya kule jela na kuwauwa kama Nguruwe. Kwa taarifa yako hao wanaokamatwa wote kwa Ugaidi hakuna hata mmoja atakaepona hata wakiachiwa hawana maisha marefu.

Hapa ni Tanzania sio Kenya, waambie wakitaka upuuzi wao waende Kenya nauli wala sio kubwa, wanaweza kutengeneza na kuuza jini moja tu wakapata nauli.
 
wewe uelewa wako ndio unakasoro. Tuliwapiga rgo risasi kwasabu walishinda wakiwauwa watu. Afadhali tufe kama tumesimama kushinda tuishi kwa magoti. Hatutamwogopa Jangili na Gaidi walio na itikadi za mashetani. Kwani yeye ana Mak*nde mangapi? Hahaha...
Ha ha ha,mtakwisha ndugu zangu wakenya,mwambieni uhuru abonge na munene wa al shababu pakuwe na ceasefire,ndani ya wiki mbili mmepoteza watu mob sana.
 
kama kuna ushahidi alikuwa gaidi basi ataenda kuhukumiwa na Mungu huko alipoeenda
 
Ufisadi ni zaidi ya ugaidi
....Sawa nimekuelewa kuwa ufisadi ni zaidi ya ugaidi kwa sababu Mafisadi wanauwa watu zaidi kwa kutumia mabomu, bunduki, kujitoa mhanga n.k. Vile vile Mafisadi wanafanya Ufisadi kulitetea jina la ALLAH wao zaidi ya wafanyavyo Magaidi/waislamu.

You are right Mkuu!
 
kama kuna ushahidi alikuwa gaidi basi ataenda kuhukumiwa na Mungu huko alipoeenda
.....Nani kasema kuwa kaenda kwa Mungu? Hao wote wanapokelewa na Shetani wao anayewatuma wauwe wenzao bila ya sababu za msingi huku wakimsingizia Mungu kwamba wanamtetea yeye.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom