Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Aende zake ni bora cdm akabaki mtu mmoja tu mwenye nidhamu kuliko kuwa na utitiri wa wanafiki haya Zito kwaheri ya kuonana kajaribu bahati yako huko
 
Uvumilivu tu utamsaidia Zitto. Tulia CDM ujifunze mwenendo na subira. Lazima ubadilike otherwise kila uendako utahama kama Baba Kiraracha.
 
CDM ni taasisi imara kwa sasa! Kuondoka kwa Zitto ni sawa sawa na unyasi mmoja kudondoka kutoka kwenye nyumba!!
 
Aende popote ili akatumike na hapa ndo siasa inanoga ila CDM ipo mpaka 2015 ikulu
 
Bora asepe tu siku nyingi anatuharibia ndani ya CDM ila Mungu ni mwema arobaini yake imetimia muda muafaka
 
maumuzi yalifanyika ndani yakikao halali cha CHAMA nayaheshimiwe tunahitaji chama chenye kuchukua hatua sio chama porojo hongera kamati kuu
 
Vyama vinavyo simama kutokana na watu wenye majina makubwa kisiasa huwa havidumu..

Muhimu kuimarisha chama..

Zitto ni mwana CDM..
 
Uvumilivu tu utamsaidia Zitto. Tulia CDM ujifunze mwenendo na subira. Lazima ubadilike otherwise kila uendako utahama kama Baba Kiraracha.

acheni ushabiki ulaku wamadaraka wa mboe na mahawara zake ndio unaendelezwa hana elimu ya kabwe yeye akafungue baa na sketi za wtt wa kike tu
 
Zito bado mwanachama wa CDM achane kuweweseka.
Sijasema kahama chama... wanaomtaka ili wajinufaishe kupitia mgongo wake wanamtaka katika vyama vyao.. Ila ujue yeye kama Nape aliyeanzisha CCJ akiwa ndani ya CCM naye anajulikana kwa kuanzisha CHAUMA akiwa CHDADEMA.
 
acheni ushabiki ulaku wamadaraka wa mboe na mahawara zake ndio unaendelezwa hana elimu ya kabwe yeye akafungue baa na sketi za wtt wa kike tu

Did you give yourself time to read what you wrote before posting it? Shame on you? Ina maana huwezi kufikiri zaidi ya hapo? Mmh! Surely we have a long way to go to be liberated.
 
acheni ushabiki ulaku wamadaraka wa mboe na mahawara zake ndio unaendelezwa hana elimu ya kabwe yeye akafungue baa na sketi za wtt wa kike tu
Wewe unakuja kutukana.. Jibu hoja si matusi. Kajadili elimu kwenye jukwaa la elimu.... Mfuate!!!...
 
tunamtakia kila la kheri!
 
mwenyekiti wa CCM mkoa Kigoma, ni mtu mkubwa sana katika mustkabali mzima wa chama.
 
kumbe zzzzk ni kibaraka kipandikizi cha wasira
 
Cdm nyinyi bado. Jifunzeni kwa raila siasa ya kitaifa. Amekosa uongozi anashiriki kuijenga kenya kwa kila linalolisibu taifa lake. Shangwe na huzuni. Mtasema juisi imewadhuru
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…