Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Hujathibitisha mungu yupo. Chochote utakachosema kuhusu mungu ni moot, hogwash, malarkey.
Lengo hapa hakuna aliekuwa na haja ya kuthibitisha uwepo wa mungu. Mtu huthibitisha pale penye utata na hakuna kati yetu (isipokuwa wewe) ambaye anahitaji uthibitisho. Sasa wewe ulioko nje ya uzio na unataka tukubaliane nawe basi fanya kazi ya kuthibitisha kinyume na hakika tuliyonayo.Wewe unakadhania thibitisha thibitisha, nani athibitishe kitu kisicho na mjadala, sasa wewe kwa akili zako unatakiwa ututowe ujingani kwa kutuonyesha kuwa hayo tunayoyaamini si kweli.
Umekuwa ukipoteza muda kwa kumtaka kila mmoja athibitishe na hakuna hata kati yetu tulilijali hilo, sasa aidha huna cha kufanya hata unangangania jambo ambalo lishaonyesha kuwa hutolipata au una tatizo la kutofahamu ishara, kwani ni wazi hakuna anaejali kutowa uthibitisho wakati kati yetu hatuna wasiwasi na mtizamo wetu.
 
Mimi siamini kuwepo mungu, niambie wewe unayeamini.
Kwa hivyo hukutakiwa kuniuliza kitu usichokiamini.
Nimesema wewe una tatizo linakusumbua, yaani hukijuwi kitu halafu unauliza maana. Unless you came across something then you can ask about it.
 
Wako wengi lakini wa kweli ni mmoja anaitwa Yesu Kristo.

Na katika kitabu chake, yaani NENO, aliye wa kweli huitwa Mungu, NENO, au Bwana, au Yehova lakini hao wengine ambao huabudiwa na watu wasioamini uwepo wa Mungu au wale wasiomuamini Yesu Kristo ingawa wanaamini kuwa Yesu yupo.
Angalau nimefarijika kujuwa kuwa yuko Mungu mmoja tu, lakini dotnet kama ni mmoja si angekuwa huyo baba badala ya mtoto? Nauliza tu.
 
Hujajibu swali kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika kama huu.

Sio kuwezekanika tu, anaweza yeye mwenyewe akawapiga vibaya wale anaopenda kuwaadhibu kutokana na upuuzi wao. Tena alikuwa zamani ananuia kufuta kizazi chote anaacha waaminifu wachache tu. Hujasikia habari za gharika au Sodoma hata kama huziamini lazima utakuwa umezisikia. Hivyo basi usikosee kuutafsiri upendo na huruma zake kuwa anaukubali upuuzi, ukiingia anga zake bila utaratibu aubukitaka kushindana naye atakuharibu vibaya utashangaa Mungu gani huyu? Anatisha ujue hilo.

Sisi tunaoamini tunasoma habari za watu wa kale aliokuwa akiwaongoza nabii Musa. Kulikuwa na watu wabishi wewe enzi za Musa yaani wewe hata sekunde huwafikii kwa ubishi. Musa alikuwa anapata wakati mgumu.

Siku moja wakamwambia Musa ee, kama vipi mwambie Mungu wako aje tuongee naye bana sio kila siku anakutuma kwetu tu yeye yuko wapi? Musa akawambia basi siku fulani muda fulani atakuja mkamsubiri kwenye mlima.

Siku na saa ilipofika, Mungu akaanza kuja pale mlimani. Ni hivi, huo umeme, ngurumo, tetemeko na miali ya mwanga mkali watu walipuga kelele wakimsihi Musa amwambie Mungu arudi waendelee kumtumia Musa kama mjumbe. Mungu akarudi. Na ujue hizo ngurumo na miali ya mwanga mkali ilikuwa ndo anajiandaa kuinuka tu hahaha pata picha angepiga hata hatua moja tu ingekuwaje?

Hii habari, hata kama huiamini nakuambia udiendelee kuuliza oh Mungu ana uwezo oh huruma mbona anaacha ebola so and so, hiyo habari hapo juu inakusomesha kuwa Mungu wetub(tunaoamini) anatisha! Ebola kitu gani wakati yeye mwenyewe anafuta kizazi chote. Guess what pamoja na yote hayo, Mungu wetu ndiye Yehova, mtu akubali akatae haibadili kitu maana mtu huyo hajui hata urefu wa maisha yake, anaishi kwa hofu hajui yajayo anajua yaliyopita tu.
 
Lengo hapa hakuna aliekuwa na haja ya kuthibitisha uwepo wa mungu.

Wrong.

Mimi nina haja ya kuthibitishiwa kwamba mungu yupo, ili watu wanaposema "mungu hivi, mungu vile" nijue wanaongelea kitu chenye uthibitisho na si hadithi za kiimani tu.

Kama unasema hakuna aliyekuwa na haja ya kuthibitisha uwepo wa mungu napata mashaka kwamba unasoma ninachoandika.

Mtu huthibitisha pale penye utata na hakuna kati yetu (isipokuwa wewe) ambaye anahitaji uthibitisho.

Sasa unajua kwamba nataka huo uthibitisho, kwa nini unasema hakuna mtu anayetaka uthibitisho huo?

Unaelewa unachoandika mwenyewe?

Sasa wewe ulioko nje ya uzio na unataka tukubaliane nawe basi fanya kazi ya kuthibitisha kinyume na hakika tuliyonayo.

First of all, unajuaje nani yupo ndani ya uzio na nani yupo nje ya uzio? Uzio wa nini? Wa ujinga?

Second of all, one cannot prove a negative. Those wh say something is there have the burden of proving that it is there.The one who questions that assertion need only ask for proof.

Third, I do not necessarily want people to agree with me. I just want a rigorous examination that is logical and comprehensive. If the idea of the existence of a godhead wins the argument on the logical merit, I am prepared to accept that. In fact I will be relieved. Because all the problems of this world will rest on god's shoulder, not mans. I think subconsciously people want to believe in a god because they are lazy and are not ready to accept responsibility. If god created the universe and he is all powerful, then the big picture things could be slated to god for a solution, we could just go down and pray and god will make it toasty.

People who do not believe in the existence of a god have to do more work, planning etc. There is no god to pray to, you gotta do the work yourself.

This is part of the reason why countries with a high inclination for religiosity are backwards in education and economy. Too much dependence on god. Watu watakufa migodini huko, kifusi kimeanguka, rais badala ya kuangalia masuala ya quality/ process control, anaishia kusema "ni kazi ya mungu". Tunaishi ki kudra kudra. In fact tuna msemo wa Kiswahili kabisa unasema "Jitihada haishindi kudra". Kwamba wewe jitahidi unavyotaka lakini kama hujapata kudra hufiki popote. Ndiyo mentality ya kidini dini hii inayotufanya tuwe masikini mpaka kesho.

Wewe unakadhania thibitisha thibitisha, nani athibitishe kitu kisicho na mjadala, sasa wewe kwa akili zako unatakiwa ututowe ujingani kwa kutuonyesha kuwa hayo tunayoyaamini si kweli.

Nikuonyeshe mara ngapi? Nimetoa objection due to logical inconsistencies in the nature of your god and the observable universe. Sijapata majibu. Tatizo hata nikikuonyesha utaelewa ninachoandika?

Umekuwa ukipoteza muda kwa kumtaka kila mmoja athibitishe na hakuna hata kati yetu tulilijali hilo, sasa aidha huna cha kufanya hata unangangania jambo ambalo lishaonyesha kuwa hutolipata au una tatizo la kutofahamu ishara, kwani ni wazi hakuna anaejali kutowa uthibitisho wakati kati yetu hatuna wasiwasi na mtizamo wetu.

Sasa kati yangu mimi ambaye sina cha kufanya na wewe unayemjibu mtu ambaye hana cha kufanya nani afadhali?

Kuna watu wanafuatilia mjadala na kujifunza hapa.

Na ukisema hakuna anayejali kutoa uthibitisho unathibitisha kwamba hujui kusoma, kwani watu wanajaribu.

Tatizo hawawezi kuthibitisha. Kama usivyoweza wewe.

Kubali tu, siwezi kuthibitisha, huyu mungu wetu ni wa kuungaunga kuliko mungu wa maboksi. Hathibitishiki.
 
Sio kuwezekanika tu, anaweza yeye mwenyewe akawapiga vibaya wale anaopenda kuwaadhibu kutokana na upuuzi wao. Tena alikuwa zamani ananuia kufuta kizazi chote anaacha waaminifu wachache tu. Hujasikia habari za gharika au Sodoma hata kama huziamini lazima utakuwa umezisikia. Hivyo basi usikosee kuutafsiri upendo na huruma zake kuwa anaukubali upuuzi, ukiingia anga zake bila utaratibu aubukitaka kushindana naye atakuharibu vibaya utashangaa Mungu gani huyu? Anatisha ujue hilo.

Sisi tunaoamini tunasoma habari za watu wa kale aliokuwa akiwaongoza nabii Musa. Kulikuwa na watu wabishi wewe enzi za Musa yaani wewe hata sekunde huwafikii kwa ubishi. Musa alikuwa anapata wakati mgumu.

Siku moja wakamwambia Musa ee, kama vipi mwambie Mungu wako aje tuongee naye bana sio kila siku anakutuma kwetu tu yeye yuko wapi? Musa akawambia basi siku fulani muda fulani atakuja mkamsubiri kwenye mlima.

Siku na saa ilipofika, Mungu akaanza kuja pale mlimani. Ni hivi, huo umeme, ngurumo, tetemeko na miali ya mwanga mkali watu walipuga kelele wakimsihi Musa amwambie Mungu arudi waendelee kumtumia Musa kama mjumbe. Mungu akarudi. Na ujue hizo ngurumo na miali ya mwanga mkali ilikuwa ndo anajiandaa kuinuka tu hahaha pata picha angepiga hata hatua moja tu ingekuwaje?

Hii habari, hata kama huiamini nakuambia udiendelee kuuliza oh Mungu ana uwezo oh huruma mbona anaacha ebola so and so, hiyo habari hapo juu inakusomesha kuwa Mungu wetub(tunaoamini) anatisha! Ebola kitu gani wakati yeye mwenyewe anafuta kizazi chote. Guess what pamoja na yote hayo, Mungu wetu ndiye Yehova, mtu akubali akatae haibadili kitu maana mtu huyo hajui hata urefu wa maisha yake, anaishi kwa hofu hajui yajayo anajua yaliyopita tu.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Halafu ujibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao una ubaya, mateso na magonjwa kama huu.

Kwa nini aumbe ulimwengu ambao atakuja kufuta vizazi? Alikosea kama mtoto wa darasa la kwanza anavyokosea kwa kuandika kwa penseli na kufuta kwa ufutio?

Hujajibu hili swali.
 
]Ukitoa madai publicly [/B]unatakiwa kuya back up. Kama unaona huna haja ya kumthibitishia mtu huna haja ya kujadiliana nami hapa. Ukishakubali kujadiliana nami hapa, maana yake umeshakubali kuulizwa maswali na mimi.Moja ya maswali haya ni kukutaka uthibitishe unachosema kipo kipo kweli.

Na mpaka sasa hujaweza kuthibitisha.

For the umpteenth time, kisichokuwepo hakithibitishiki kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Unaweza kuthibitisha kwamba chumbani kwako hakuna kikombe cha dhahabu kisichoonekana kilichojaa damu isiyoonekana ambacho kinazunguka kwa nguvu ya umeme usioonekana?
Unafahamu madai na pia unafahamu Public.
Kwa ufupi madai ni kitu kipya na Public ni walio wengi.
Sasa hebu jiangalie, wewe ni public au wale walio wengi humu? Wewe huwezi kuwa Public kwani sisi tuaminio mungu ndio public nawe ni solitary person basi
Kuhusu madai, nini madai? Madai ni dhana au jambo jipya unalolileta mbele ya watu, sasa naona hili la Mungu si madai kwani watu wote wanalijuwa na ndio maana hakuna zaidi ya wewe humu aliyekuja na kuonyesha kuwa nimeleta madai.
Pengine wewe sasa ndio unaleta hayo madai mbele ya hiyo public, na ikiwa hivyo maelezo yako yakurudie mwenyewe kuwa ulitakiwa uthibitishe kuwa Mungu hayuko. Wala hizo tentieth au thitieth zisingefika kama ungethibitisha hayo madai yako uliyoyatowa kwenye public kuwa hakuna mungu.
 
Madai ni kitu kipya kwa definition gani?

Do you even know that this is a public forum?
 
Thibitisha kwamba mungu yupo.

Halafu ujibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao una ubaya, mateso na magonjwa kama huu.

Kwa nini aumbe ulimwengu ambao atakuja kufuta vizazi? Alikosea kama mtoto wa darasa la kwanza anavyokosea kwa kuandika kwa penseli na kufuta kwa ufutio?

Hujajibu hili swali.

Unamtukana Mungu kwa kumfananisha na mtoto anayekosea? Kweli hujui ulitendalo.

Utasubiri sana uthibitisho (ishara) na hutakaa uupate, huenda unatumaini hilo ukiangalia huku na kule uone kama atatokea atakayethibitisha.

Ipo siku itathibitika kwako tena kwa njia ambayo ama utafurahi sana kujiona kuwa ulikuwa mpumbavu kabla (mpumbavu amesema moyoni, hakuna Mungu) au utajuta sana na ku wish ungepata muda wa kumtumikia huyo Mungu usiyemkubali sasa kwa kwa maandishi lakini moyoni kwako nina uhakika kweli inakushuhudia vinginevyo (guilty for pretending).

Waiting for proof? Keep waiting.
 
Nimemtukana vipi mungu wakati yeye mwenyewe kaumba viumbe, halafu hakufurahishwa kawafutilia mbali?

Huyu mungu ana tofauti gani na mtoto anayejifunza kuandika, akaona hakupatia muandiko, akafuta aanze upya?

Umeanidka
"Utasubiri sana uthibitisho (ishara) na hutakaa uupate..."
halafu bada ya hapo tu umeandika tena
"Ipo siku itathibitika kwako tena kwa njia ambayo ama utafurahi sana kujiona kuwa ulikuwa mpumbavu kabla (mpumbavu amesema moyoni, hakuna Mungu) au utajuta sana na ku wish ungepata muda wa kumtumikia huyo Mungu
...

Wewe mwenyewe hujui kama unaenda au unarudi! Unajichanganya changanya tu. No wonder unaamini mungu ambaye huwezi kumthibitisha.
 
Wrong.

Mimi nina haja ya kuthibitishiwa kwamba mungu yupo, ili watu wanaposema "mungu hivi, mungu vile" nijue wanaongelea kitu chenye uthibitisho na si hadithi za kiimani tu.
Watu wanapozungumzia, naam huo ndio uzio niliokusudia, sasa iwapo hao watu wanazungumzia yanayowahusu wewe uliyejitowa katika hao watu yanakuhusu nini, na kwanini wakuthibitishie na kupoteza muda kumuingiza asiekuwemo kwenye mjadala?

Kama unasema hakuna aliyekuwa na haja ya kuthibitisha uwepo wa mungu napata mashaka kwamba unasoma ninachoandika.
Kwani hadi sasa kipi ulichokizungumza ambacho ningekisoma zaidi ya swali hilo hilo moja, thibitisha, hujathibitisha, sasa hebu nieleze kitu cha maana ambacho umekiandika ambacho unahisi sijakisoma?

Sasa unajua kwamba nataka huo uthibitisho, kwa nini unasema hakuna mtu anayetaka uthibitisho huo?

Unaelewa unachoandika mwenyewe?

First of all, unajuaje nani yupo ndani ya uzio na nani yupo nje ya uzio? Uzio wa nini? Wa ujinga?

Second of all, one cannot prove a negative. Those wh say something is there have the burden of proving that it is there.The one who questions that assertion need only ask for proof.
And hence you provide us with the positive. What seems negative turns out to be affirmattive for both of us, you called people, thus shift the burden to prove oterwise to you who is on the negative side of others.

Third, I do not necessarily want people to agree with me. I just want a rigorous examination that is logical and comprehensive. If the idea of the existence of a godhead wins the argument on the logical merit, I am prepared to accept that. In fact I will be relieved. Because all the problems of this world will rest on god's shoulder, not mans. I think subconsciously people want to believe in a god because they are lazy and are not ready to accept responsibility. If god created the universe and he is all powerful, then the big picture things could be slated to god for a solution, we could just go down and pray and god will make it toasty.
got an access to create yourself, decide gender and you have a control over growing and you may prevent death?How relieved I am, if your statement is true. Then can you open the discussion by prove us wrong.
It is sad that your assumption that the only reason of people to believe in god is the laziness and not being ready to take resposibility. That is a lame reason. Why then we do not turn to stronger and fearless, cruel people and call them God or whatevername deemed. On the other hand you yourself is not lazy and you are ready to face responsibilty have made had the decision to come to the world after choosing your gender, height and duration of your stay in this land which you wisely choose before coming to the place called world. I think you have even chosen not to face death.

People who do not believe in the existence of a god have to do more work, planning etc. There is no god to pray to, you gotta do the work yourself.
​Do you think those who believe do not plan and everything that they do are not planned. You are wrong and it is sad that you live on assumptions and not on factual-ism while you deny the existence of god who to you is an idealistic. Belive me God does not distribute things while the believers sleep but it the believer himself do the planning and execute what he planned. This is also yet another lame reason to deny the existence of God.

This is part of the reason why countries with a high inclination for religiosity are backwards in education and economy. Too much dependence on god.
You are lying and you do not think what you incline. America is the richest and highly educated and the God's name is in their emblem. Ironical those countries which denied the existence of God were the backward ones and they are distinct now.
Watu watakufa migodini huko, kifusi kimeanguka, rais badala ya kuangalia masuala ya quality/ process control, anaishia kusema "ni kazi ya mungu". Tunaishi ki kudra kudra. In fact tuna msemo wa Kiswahili kabisa unasema "Jitihada haishindi kudra". Kwamba wewe jitahidi unavyotaka lakini kama hujapata kudra hufiki popote. Ndiyo mentality ya kidini dini hii inayotufanya tuwe masikini mpaka kesho
Kwani unahisi ni kazi ya nani, iwapo anaeumba ndie anaeamuwa kuuwa. Uliona wapi kuwa hapatokei ajali na hata kwa hao walioendelea wanashindwa kuzuia ajali, sasa watu mnao uwezo wa kuamua kila kitu mnashindwa nini kuweka vitu universal ili kuondowa ajali au bora zifuteni kabisa hapa duniani zinatupatisha tabu

Nikuonyeshe mara ngapi? Nimetoa objection due to logical inconsistencies in the nature of your god and the observable universe. Sijapata majibu. Tatizo hata nikikuonyesha utaelewa ninachoandika?

Sasa kati yangu mimi ambaye sina cha kufanya na wewe unayemjibu mtu ambaye hana cha kufanya nani afadhali?

Kuna watu wanafuatilia mjadala na kujifunza hapa.
Kwani pana ubaya kukwambia kama umekaa uchi wakati mwenyewe hujali? Kibinaadamu huhisi kuwa labda mambo yamekutanza hivyo kukushituwa si vibaya.

Na ukisema hakuna anayejali kutoa uthibitisho unathibitisha kwamba hujui kusoma, kwani watu wanajaribu.

Tatizo hawawezi kuthibitisha. Kama usivyoweza wewe.
Sio tabu maadamu naweza kuandika na wewe ukafahamu,nashukuru kuwa ujumbe umekufika kuwa hilo la kusoma nililifanya ndio nikakuona humu kwani wewe hujatumia audio wala picha kuwasiliana na mimi.

Kubali tu, siwezi kuthibitisha, huyu mungu wetu ni wa kuungaunga kuliko mungu wa maboksi. Hathibitishiki.
​Naona ni pande mbili na labda tupige kura ili mmoja wetu akubali kubadilisha mfumo, unataka nithibitishe kuwepo kwa mungu nami nataka uthibitishe kuwa hayupo. wewe una sababu zako nami nina zangu na hakuna aliye juu ya mwenziwe kwani unilazimishe wakati wewe hutaki kulazimishwa?
 
Ukweli haujali kura.

Hata dunia nzima ikipiga kura kusema kwamba jua halipo, kama lipo litaendelea juwapo tu.

Ukifikiri ukweli unategemea kura utakosea sana tu.
 
Hebu jaribu kunielewa. Hatuwezi kuupigia kura uwepo wa Mungu, nilichokwambia kuwa wewe baki na msimamo wako wa kutaka uthibitisho wa kuwepo kwa mungu nami nibaki na msimamo wangu wa kutaka uthibitishe kuwa hakuna Mungu.
Iwapo unalazimisha basi kuwepo kura na ukishinda basi mimi nitafanya unavyotaka wewe. Kupiga kura juu ya uwepo wa Mungu loh! Mungu asitukutanishe mimi na wewe kabisa.
 
Bado kura haijasimamia ukweli automatically, kwa hiyo kama wengi wanaweza kuwa wajinga na ujinga ukashinda, kura si njia nzuri ya kuamua mambo.

Mimi nishakwambia sababu ya kutowezekanika kwa chochote kisichokuwapo (sio tu mungu) kutowezekana kuthibitika kwamba hakipo. Na mfano nikakutolea. Na challenge ya kuthibitisha kimoja ambacho hakipo nikakupa. Mpaka sasa hujaweza kuthibitisha.

What's your excuse?
 
Ikiwa ni hivyo nimekupa uthibitisho wa kuwepo Mungu. Pengine kama mwenyewe ulivyojilabu kuwa unajuwa kusoma tofauti na wengine nilikuuliza jee umesaidia kiasi gani cha kuuumbwa binaadamu na si kiumbe mwengine, ulijiamulia vipi gender yako, ulijiamulia vipi kutokeza huku kwa wajinga, na jee kipindi gani cha umri wako umekichukia kiasi kwamba unaendelea kuwa mzee na mwisho ( kwa niliyokuuliza mimi) hili pande la ardhi unalolikanyaga ulilipia kiasi gani huko kokote ulikokuwepo kabla ya kuja hapa?
 
Uthibitisho wako wa kuwepo kwa mungu umeutoa wapi? Weka link hapa.
 
Linki gani zaidi ya wewe Kiranga, kwani si wewe ninaekuzungumzia na umeshindwa kuonyesha hiyo planning na hard working uliosema ndio msingi wa binaadamu.
Sasa ninakwambia kuwa yuko alie kuleta wewe Kiranga na akakupa na akili ukashindwa kuzitumia vizuri na kuanza kumkejeli.
Sasa ni zamu yako thibitisha kuwa hakuna kitu kama hicho bali wewe ni wewe na hard working na plani zako tu!
 
Utathibitishaje kwamba kile ambacho hakipo hakipo?

Utaanzia wapi?

Utatafuta fingerprint?

Kilichopo ndicho kinachothibitika kwamba kipo. Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.

Thibitisha kwamba mungu yupo kusema "link gani zaidi ya wewe Kiranga" si uthibitisho kwamba mungu yupo.
 
Yaani huu ndio upeo wa hoja zako? Siamini kuwa binaadamu hungangania kitu hata kama kimechuja.
Pengine hukujijua kuwa uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wako wewe? Usishangae na wala usilazimishe vitu wakati wewe mwenyewe umeumbwa katika mambo ambayo huwezi kuyagusa. Uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wa wewe na kama unabisha basi thibitisha kuwa picha fulani au video fulani inaonyesha kuwa wewe huwezi kuwa kithibitisho cha kuwepo mungu.
Ninachokwambia mimi ni kuwa Mungu kakuumba nawe kataa na uniambie wewe umeteremkaje sijui wapi?
 
Back
Top Bottom