Halafu mtu huyo huyo ambae anajua hayupo anatafuta uwepo wake,yaani mtu ambae anajua kabisa anachitafuta hakipo lakini anahangaika kuuliza kuhusu uwepo wake
That is logical isn't it?
Kweli ebola inatisha!
Nawa challenge wanaosema yupo wathibitishe kwamba yupo.
How is that illogical?
Du! So mkuu Kiranga wewe unavyojua ulitokea wapi? Yaani asili ya wewe kuwa hai na kuweza kuwa na ufaham ilitoka wapi?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aachie watu wafe kwa ugonjwa kama Ebola?
Nikikwambia watu walioandika biblia walitaka kuwashikia akili wapumbavu wanaoogopa kuitwa wapumbavu kwa kuandika "mpumbavu amesema hakuna mungu" na kwa sababu wewe ni.mpumbavu unayeogopa sana kuitwa mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu utajibu vipi?
Hebu soma Warumi8:26-27. uone ni nan anaetuombea huko mbinguni.
Kuhusu Mungu kusikiliza maombi ya watakatifu ni tofauti na inavyo tumika.
Soma huo mstari then tujadili
So aliyekufa leo ni huyo doctor tu? Mbona huulizi kuhusu wanaokufa Muhimbili na sehem zingine?
Imekupasa kufanya mambo mawili kupata majibu unayotaka:
Moja, amini Mungu yupo, anaishi na ana uwezo kuliko kitu au mtu au miungu au utawala wowote ulipata kuwepo, uliopo au utakao kuwepo (I AM THAT I AM).
Pili, jifunze na utafute habari za matendo yake makuu KWA IMANI sio kwa akili zako pekee, hazikutoshi kumjua Mungu.
Mi ntamsaidia kujibu.
Jibu lake ni kuwa.
Mpumbavu ni Yule ambae anakubali kuwa hapo mwanzo kabisa kilitokea kitu kutoka KUSIKO JULIKANA! kitu hicho kwa SABABU ISIOJULIKANA kikapasuka Na Ghafla baada ya miaka Bilion kadhaa Akatokea kiumbe mmoja aitwae Kiranga mwenye tabia ya kuhara hovyo bila sababu maalum kwenye Jukwaa Moja liitwalo Jamii Forum kwa sababu ambazo PIA HAZIJULIKANI.
Kiumbe huyu akajiita Kiranga Kwa maana ya "manyege"! Kila anapojaribu Kuelekezwa vitu na viumbe wengine kile kiungo Kiitwacho Busara Mara zote huwa anakikalia na kiungo kingine kiitwa MAKALIO na kila Anapojaribu kuelekezwa anazidi KUHARA JUKWAANI.
Sasa viumbe wengine km kina kahtaan Wakaona ni Bora Waache Kumuelekeza kwa sababu lile jina Kiranga huenda likawa Limemuathiri sana Kile kiungo Kiitwacho UBONGO!
Kitu ambacho Huyu bwana Manyege anacho sahau Kutambua ni Kuwa ni Kanuni ya kawaida kabisa ya Binaadamu kama anahitaji kufahamu kitu chochote basi lzm awe na weledi na kukubali Kutazama kila Kona ya maelezo ya jambo/kitu hicho na sio Kung'ang'ania kona moja tu ka sindano ya santuri imenasa.!!!!
Lkn bahati mbaya Kichwa kinachohifadhi kile Kiungo Kiitwacho Ubongo cha huyu mzee manyege aka Kiranga Kimeathirika sana na kazi ngumu anazozifanya za kubeba mizigo mizito kutokana na Elimu yake ndogo. Hivyo kikosa ajira za Kutumia Huo UBONGO!
USHAURI/HITISHO.
Ni kawaida kwa Binaadamu kila siku ziendazo mbele na weledi wake kuongezeka lkn kuna binaadamu km asilimia 2% ambao kwa sababu Ya bongo zao zilivyo Badala ya wao Kuongezeka weledi basi siku hadi siku wanazidi kuwa Wapumbavu! Na bahati mbaya mimi au Yyt aliyemo humu Jf Hawezi Kuligeuza Hilo.
Na nina hakika 100% wewe bwana Kiranga bahati mbaya UMO KTK HIO ASILIMIA 2%.
That is very Unfortunate.

Hujajibu swali.
You are totally beside my point.
You are launching an "ad hominem" attack. Badala ya kujibu hoja unanitukana mimi.
Kwa sababu huwezi kujibu hoja.
Kama kuna wengine wengi wanaokufa basi swali la kwa nini mungu hawasaidiii linaongezewa nguvu, inakuwaje unatumia wengi kufa kama utetezi?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawasaidii viumbe wake wasipate shida hizi za majanga?
Kama mungu yupo na ana uwezo, ujuzi na upendo wa kusaidia, mbona anaachia watu wanateseka?
Tatizo kubwa ninaloliona kwa wakatoliki ni kule kuchanganyikiwa. Siku moja niliwahi kumtembelea mama mmoja, msomi, tena ana vidato vingi tuu kichwani. Nadhani mtanielewa. Ati akaniambia kuwa kuna picha ya bikira maria imejichora kwenye silingibodi ya chumba chake. Tena she was very very serious about this.
Mtumzima si nikaingia hadi chumbani. Lahaulaa! Kumbe, ni maji ya mvua na paa linavuja. Mwajua yanayotokeaga baada ya kukauka pale.
Jamani, huyo mama wa watu, kajifilia miaka 2000 ilio pita huko, kulikuwa hakuna hata mpiga picha, leo 2014 mwasema atii kaonekana?
Mnaosomaga biblia mwajua kale kaandiko; Shetani hujigeuza na kuwa malaika wa nuru. Someni 2 Kor. 11: 14.
Leo mwaenda kuweka maua kwenye pango la mti???? Ptuuuu. Mungu hahitaji miti kutuonya. Weye hapa Bongo, utafika lini huko Unyamwezini kuiona hiyo picha. Tumieni akili kidogo tuu wala sio ma.sa.buri
Matayo 4:5-7If the Virgin Mary has to steep down to these types of pranks, then she is running out of tricks indeed. Why doesn't she appear in Monrovia and give the dying Liberians the cure for Ebola?
Kusema wanakufa wengi namaanisha Mungu ni JUST.
Na, asili ya kufa unaijua wewe su unauliza tu based on Ebola?
Na, ikiwa huamini kama Mungu yupo, sifa za Mungu kuwa huzuia kifo au maafa yasiwapate watu ulizitoa wapi?
Ikiwa huimini Biblia ndugu tutakesha itakuwa mchezo kibe
... Ila kuombewa na mchungaji kiongozi au mama mchungaji ni sawa tu!Zaidi ya kumzaa Yesu Kristo mwana waMungu hana nafasi yoyote kuendelea kumtukuza,kumwomba ni kupoteza muda tu.
Tatizo kubwa ninaloliona kwa wakatoliki ni kule kuchanganyikiwa. Siku moja niliwahi kumtembelea mama mmoja, msomi, tena ana vidato vingi tuu kichwani. Nadhani mtanielewa. Ati akaniambia kuwa kuna picha ya bikira maria imejichora kwenye silingibodi ya chumba chake. Tena she was very very serious about this.
Mtumzima si nikaingia hadi chumbani. Lahaulaa! Kumbe, ni maji ya mvua na paa linavuja. Mwajua yanayotokeaga baada ya kukauka pale.
Jamani, huyo mama wa watu, kajifilia miaka 2000 ilio pita huko, kulikuwa hakuna hata mpiga picha, leo 2014 mwasema atii kaonekana?
Mnaosomaga biblia mwajua kale kaandiko; Shetani hujigeuza na kuwa malaika wa nuru. Someni 2 Kor. 11: 14.
Leo mwaenda kuweka maua kwenye pango la mti???? Ptuuuu. Mungu hahitaji miti kutuonya. Weye hapa Bongo, utafika lini huko Unyamwezini kuiona hiyo picha. Tumieni akili kidogo tuu wala sio ma.sa.buri
Matayo 4:5-7
5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,
6 akamwambia, "Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe."
7 Yesu akamwambia, "Imeandikwa pia: Usimjaribu Bwana, Mungu wako."
Du! So mkuu Kiranga wewe unavyojua ulitokea wapi? Yaani asili ya wewe kuwa hai na kuweza kuwa na ufaham ilitoka wapi?
virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.