I'm very hurt today, but I have no way.

umesoma maelezo ya OP vizuri lakini ?
Screenshot_20220313_145700.jpg

Jana nikakutana na hili liscammer nakaamua lizinagua....
 
Unawanunua vipi na wapi mkuu?

Na unawezaje kuwa trust?
Trust ni kuwa kwenye Community kupokea Feedback na kujua kama mtu ni muaminifu.

Kampuni kubwa zinatuma tu mizigo ila individual wadogo unaweza kuwatumia Task kama hizo.

Kuna Subreddit ya r/internationalshoppers unaweza ku request kitu kama Hicho. Pitia nyuzi kadhaa.
 
Just Read:

Hello. how are you doing?

I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX
I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant.

{link kapuni}

This is what i want you to create for my wife Restaurant
I want the Restaurant website to be completed within a period of Three weeks and I want everything to be perfectly created, that's why I gave you that sample website to looks at, I will like you to create something very similar to that sample website, I don't really know about website creation so you can use any technology that you think it's best for it, be it WordPress, PHP, E-commerce or Drupal etc.

Take note of the following

I want the same number of pages

I have the image, artwork, text, contest, pictures, structures and videos with every other things needed

We want to be able to edit and update things on the website our self
My consultant will assist you will all the information you need about the website.

Hapa sasa: panauma

Note:
I only pay through Cashier Check or Bank verify check and you will need a Relative living in USA ONLY to receive your payment on your behalf And we need to know who is working for us and sending my money to.

My Budget isn't more than $1800

Kindly get back to me if you are interested in working for me and my wife

Baada ya kumjibu naishi bongo nyoso, AKAULIZA

Did you have a relative in USA that can receive the payment

IT wa bongo nikasema;

No I don't have basi ndo hivyo ach tuendelee kutafuta michongo kibono bongo
This really looks like a scam.
 
Mkuu haya si ndo mambo yako, naona wanataka aliyeko Time Zone ya GMT+3
 
View attachment 2148942
Jana nikakutana na hili liscammer nakaamua lizinagua....
Bado sijaelewa huo u scam uko wapi????????????
Umeambiwa utume screenshot ya project uliyochagua kuifanyia kazi...au hebe elezea ili wengine tuelewe uscam uko wapi??????

Halafu naona kommenti nyingi za huyo scam huyu scam, umeombwa hela au umefanyishwa kazi bila malipo?????????

Mbona wabongo mmechoka hivi??? ndio maana kazi ya ukweli inakupita hivi hivi, au lugha ni ngumu huielewi?????

Halafu wengi ni mipwengwe inapita tu ku comment upuuzi hata halijui dhana ya aliyeanzisha mada wala kazi inayoongelwa......mijinga kabisa
 
Kama nilivyomwambia mwenyewe, niko kwenye hili game miaka mingi kiasi kwamba ninaweza kumjua scammer kwa kusoma post yake tu na msg. Nshakutana na watu wenye same formula kama yeye wengi tu.
Hukuona post yake hivyo acha kubwabwaja maana huelewo chochote.
We wadhani mimi sipendi ela nikareject invitation yake halafu nije telegram kumchezea tu? Huyo ni scammer na post yake upwork waliiondoa baadae.
Sifa ya scammer, uwa anapost kazi wakati hata hajaverify payment method, sasa huo mkataba anakupatiaje, sifa nyingine kazi hiyo hiyo anaweka pesa nyingi na anasema anahitaji watu wengi, na uwa anataka mkapatane nje ya platform.
Huyo kilichokuwa kinafuata ni kuniambie nitume security fee. Same old scamming formula nimekutana nao wengi tu ana ndio maana nilipomwambia wewe ni scammer hakujibu.
 
Just Read:

Hello. how are you doing?

I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX
I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant.

{link kapuni}

This is what i want you to create for my wife Restaurant
I want the Restaurant website to be completed within a period of Three weeks and I want everything to be perfectly created, that's why I gave you that sample website to looks at, I will like you to create something very similar to that sample website, I don't really know about website creation so you can use any technology that you think it's best for it, be it WordPress, PHP, E-commerce or Drupal etc.

Take note of the following

I want the same number of pages

I have the image, artwork, text, contest, pictures, structures and videos with every other things needed

We want to be able to edit and update things on the website our self
My consultant will assist you will all the information you need about the website.

Hapa sasa: panauma

Note:
I only pay through Cashier Check or Bank verify check and you will need a Relative living in USA ONLY to receive your payment on your behalf And we need to know who is working for us and sending my money to.

My Budget isn't more than $1800

Kindly get back to me if you are interested in working for me and my wife

Baada ya kumjibu naishi bongo nyoso, AKAULIZA

Did you have a relative in USA that can receive the payment

IT wa bongo nikasema;

No I don't have basi ndo hivyo ach tuendelee kutafuta michongo kibono bongo
Ungemtafuta hata Roma ndugu......
 
Kama nilivyomwambia mwenyewe, niko kwenye hili game miaka mingi kiasi kwamba ninaweza kumjua scammer kwa kusoma post yake tu na msg. Nshakutana na watu wenye same formula kama yeye wengi tu.
Hukuona post yake hivyo acha kubwabwaja maana huelewo chochote.
We wadhani mimi sipendi ela nikareject invitation yake halafu nije telegram kumchezea tu? Huyo ni scammer na post yake upwork waliiondoa baadae.
Sifa ya scammer, uwa anapost kazi wakati hata hajaverify payment method, sasa huo mkataba anakupatiaje, sifa nyingine kazi hiyo hiyo anaweka pesa nyingi na anasema anahitaji watu wengi, na uwa anataka mkapatane nje ya platform.
Huyo kilichokuwa kinafuata ni kuniambie nitume security fee. Same old scamming formula nimekutana nao wengi tu ana ndio maana nilipomwambia wewe ni scammer hakujibu.
Sawa…
kama anataka kukupeleka nje ya upwork platform kwa malipo na baadae kukuuliza ulipe fee, kweli huyo ni scam
Lakini kwanini usilete hivyo vielelezo vya kutakiwa utoe hela ili watu wengine wajifunze sio kuleta vielelezo nusu nusu na kuhitimisha huyo ni scam
 
Scammers wana same stories, sijui uwa na watu wale wale. Nshakutana nao wengi same stories choose sjui your task and blah blah.
So sikutaka tufike huko na post yake waliondoa baada ya muda.
Narudia tena naweza kujua scam kwa kusoma tu post yake.
Niko kwenye hii kazi toka 2013 so nishakutana na mengi
 
Back
Top Bottom