I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Acha kujiendekeza plus uvivuu.
LA sivyo utaishia kuolewa na kuachika.
sasa mpaka naolewa sijui huyo Mtu ana mawazo kama yako?
siwezi kuishi na type Hiyo ya mwanaume. nitafungasha mwenyewe kabla ya kuambiwa.

KAZI ZA NYUMBANI SI KAZI YA MWANANKE. Ni kazi za waishio nyumbani na waajiriwa wa hizo kazi
 
Shule za kata now kupata house girl ni shida sana
bora kununua tu hizo mashine

mashine ya kufua now laki sita unapata
microwave laki mbili unapata...
better machines......
Mashine ya kufulia kwa maji gani? Haya maji machafu ya dawasco? Come on. Acha uchoyo hire two young people wa kike na kiume wakusaidieni. Wa kike ndani, wa kiume nje. Stop being selfish.... Kuna unemployment rate kubwa sana jamani.

By the way, now vijana wa ku hire ni lazima wawe wamefika hata form four.
 
Mwanamke ni zaidi ya kazi chumbani na dyu dyu.

Mwanamke ni mama na mlezi Wa familia. Mshauri, msaidizi na n.k

.
na mwanaume ni zaidi ya provider na dyudyu. hizo roles ni za mwanaume pia.
 
sasa mpaka naolewa sijui huyo Mtu ana mawazo kama yako?
siwezi kuishi na type Hiyo ya mwanaume. nitafungasha mwenyewe kabla ya kuambiwa.

KAZI ZA NYUMBANI SI KAZI YA MWANANKE. Ni kazi za waishio nyumbani na waajiriwa wa hizo kazi
Haya mama. Ukisali omba saana upate Huyo mwanaume Wa sayari ya Mars atakae kuendekeza.

Lazima mwanamke ufanye kazi Fulani Fulani apart from dyudyu.
Haata kama uwe na pesa kiasi gani.
 
Mashine ya kufulia kwa maji gani? Haya maji machafu ya dawasco? Come on. Acha uchoyo hire two young people wa kike na kiume wakusaidieni. Wa kike ndani, wa kiume nje. Stop being selfish.... Kuna unemployment rate kubwa sana jamani.

By the way, now vijana wa ku hire ni lazima wawe wamefika hata form four.

Tuko kwenye kubana matumizi
ukiajiri watu wawili hata uwalipe elfu 80
watu wawili kwa mwaka tunazungumzia milioni 1.5
bado gharama za kuwalisha na kuwauguza wakiugua

while hizo mashine ukishanunua done
ni umeme tu......

Sio uchoyo....na kubana matumizi kama Magufuli anavyotaka
ajira wasubiri viwanda vya Magufuli
 
Kwahyo kuliko kuhudumia nyumba yako bora uhudumie ofisi ya bosi wako??

Ndo wazungu walipotufikisha...
ni job descriptions mbili tofauti na ndo nilichochagua.

bado wenye nyumba wana kazi ya kuangalia na kutengeneza nyumba.

mahousegirl sio machine zinazofanya kazi bila makosa au kuchoka.
 
Tuko kwenye kubana matumizi
ukiajiri watu wawili hata uwalipe elfu 80
watu wawili kwa mwaka tunazungumzia milioni 1.5
bado gharama za kuwalisha na kuwauguza wakiugua

while hizo mashine ukishanunua done
ni umeme tu......

Sio uchoyo....na kubana matumizi kama Magufuli anavyotaka
ajira wasubiri viwanda vya Magufuli
Maji ya dawasco machafu... Mashine zinaharibika haribika bana. Halafu kama ulikua unaishi kwenye uhalisia kipindi cha Jk, hakuna tofauti yoyote kabisa na sasa. [emoji136]
Yaani maisha yamebaki kwenye uhalisia uleule.

Pia **** watu tuna dream home.... Kazi zote za home hamuwezi kufanya wawili tu na baba watoto ukizingatia mna mtoto. Kuna bistani ya matunda na mbogamboga nani anahudumia? Muende kazini, kazi za home and everything..... Saa zingine mnasafiri inakuaje hapo.

Hata uwe na ma robot home.. It depend mnafanya kazi gani amd your daily time table. Maana mtakosa hata mtu wa kuhudumia ng'ombe na kuku hapo nyumbani heheee.... [emoji86]. Nyumba ina mifugo bustani, na mengineyo. You need to hire maids
 
I thank God he totaly understands me...house chores zinachosha si utani ntafanya kwa moods atleast weekends ila sio kila siku,ukiolewa na mbongo hayo mambo utafanya tu.......
 
Shule za kata now kupata house girl ni shida sana
bora kununua tu hizo mashine

mashine ya kufua now laki sita unapata
microwave laki mbili unapata...
better machines......
we have machines and we have a housegirl.

kupika na usafi ni kazi...sizitaki kazi hizi. I'll cook when I'm in the mood.
 
Back
Top Bottom