kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,679
No... Mimi nimejifunza kuchagua ma housegal from my parents. They used to go and fetch them from their homes kabisa. Akileta ushenzi mnamrudisha kwao kabisa mnamkabidhi. Kuna faida ya kufanya hivi.... Pia hatuchukui housegal just a housegal NO. Lazima tunajua familia yake na mazingira yao.....Labda hujawahi pata headache ya ma housegirl
kuna ma house girl washirikina
kuna waongo wambea wachonganishi
kuna malaya wanaoleta wanaume ndani
waliopitia headache za mahouse girl wanajua
kuishhi kwa uhalisia ni pamoja na kujua faida na hasara
wewe na mkeo mna kazi...
bustani haihitaji 24 hours..kibarua wa weekend anatosha
ngo'mbe waeke shambani na watu wa shambani wakae nao huko huko
kama unazungumzia maisha yenye stress kidogo...basi huhitaji kuwa na housegirl na houseboy
na ngo'mbe nyumbani
bado kuna ndugu ...ambao huwezi kuwakwepa
unaweza kukuta nyumba umejaza watu hata watoto wako kushika remote control tu shida
bado kuna ma houseboy wengi wana tabia za ku sex na watoto wa wenye nyumba
ushahidi upo humu humu JF wadada wame confess....
maisha ya sasa Houseboy sioni umuhimu wake hasa kuishi nae ndani
ngo'mbe wakae shamba....house girl labda mke awe mjamzito
machines are better
Maids wanakaa kwenye kota yao hatulali nao ndani and familia sio kubwa. Just wazazi na mtoto plus two maids. [emoji3]
Hayo mambo ya uchawi sijui nini inategemea na imani zenu and inategemea huyo maid wenu mmemchukua wapi. Vijijini wanajuana wale, kama upo serious na unachotaka huwezi kuchukua kiazi.
Haya mpo kazini, mtoto akirudi kutoka shule inakuaje? Awasubiri nje ya geti au? Msaidizi ni NEED sio WANT. Ninyi wazazi mnaingia home saa 12 au 1 usiku kabisa.....