I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Neither am I

Well don't tell me that I don't know what I'm talking about just because we disagree. It makes you look like a know-all yourself.

.
Yea the word also says to stone glutton children to death.

I don't wanna meddle with people's beliefs...(but of course I disagree as I explained).,

There are different types of men! Don't group em like chickens!

Muhaha is that what happened to you! Well what do you expect from a man who believes housechores are for women? There are men out there with a different upbringing and different views of life. maybe you've never met them. kwenye ukoo wetu wameingia weeengi.

I don't need to convince him. Make it click in your head that there are men who understand that house chores are their responsibility. Maybe you've never met them.

AGAIN THERE ARE DIDFERENT TYPES OF MEN OUT THERE.

mpaka niite watu dear dear ndo nionekane siamrishi! huu ndo mwandiko wangu! plus sijaja kubembeleza hapa nimekuja kuargue.

kwanza mie mpooole 🙂

Fools have no interest in understanding; they only want to air their own opinions. Doing wrong leads to disgrace, and scandalous behavior brings contempt.

2. Proverbs 1:5-7 Let the wise listen to these proverbs and become even wiser. Let those with understanding receive guidance by exploring the meaning in these proverbs and parables, the words of the wise and their riddles. Fear of the LORD is the foundation of true knowledge, but fools despise wisdom and discipline.

3. Proverbs 12:15 The way of a fool is right in his own eyes: but he that hearkeneth unto counsel is wise.
 
aaaawww babe, thanks. 🙂
aren't you like the best cook ever!!

I enjoy cooking for you 🙂

Bon appetite.

ImageUploadedByJamiiForums1461842156.566379.jpg
 
Kama uliolewa hivi karibuni bila shaka una washing machine, itumie kama huna tafuta mtu wa kufua na kupiga pasi. Hakikisha unakagua nguo hizo vizuri. Rice cooker itakusaidia, wali perfect kila ukipika, hata pilau unamalizia humo humo. Kama una uwezo Maharage ya wiki chemsha, gawanya kwa mlo, freeze. Kama unatumia kisamvu unaweza pia kukichemsha, nyama kata kabisa chemsha, hifadhi kwa mafungu. Microwave ni rafiki yako, itumie vizuri. Kwa kifupi jipange.
Kwa style hii huwezi pata radha halisi ya chakula maharage week nzima? kisamvu week nzima? cha muhimu ni kujipanga na kutafuta dada wa kazi baasi. Virutubisho vyote muhimu katika chakula vinapotea unajikuta wewe nafamilia mnakula makapi.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na wife house anayetunzwa vizuri. Mimi na deka sana kwa mke wangu. Kwakuwa haendi kazini katika mambo anayofanya ni kunishawishi aonekane mpya na mzuri kila siku. Nikurudi nyumbani nakuta watoto wamekula, wamelala kwa wakati. Chumba kimepambwa kwa shuka za kukaribisha, chumba kinanukia ubani na mama ameshamaliza kazi zake binafsi na za kuwasimamia wengine, anamsubiri mzee tu akiwa amevaa kanga moja, believe me naulizwa wataka kuoga kwanza, kula au kunila mimi? Napenda sana chai, nakuta chai yenye viungo barabara imeshaandaliwa. Sasa kama Mungu amenipa uwezo kwanini ni mruhusu mke wangu akagusweguswe mwili wake na watu wa hovyo kabisa wakati ninauwezo wa kumpa anachofuata kazini na ninamwezesha kidogokidogo kwa ajili ya baade ili asimame mwenyewe.
Samahani kwa hili swali sipo kiimani lakini naomba niulize ni muislamu au mkristo wewe?
 
Kwa style hii huwezi pata radha halisi ya chakula maharage week nzima? kisamvu week nzima? cha muhimu ni kujipanga na kutafuta dada wa kazi baasi. Virutubisho vyote muhimu katika chakula vinapotea unajikuta wewe nafamilia mnakula makapi.
Ili mradi Tanesco iko usipate shida na vyakula hivyo. Vyakula kama mchicha, majani ya maboga hivyo tayarisha papo kwa hapo ili kutunza vitamins ambazo hupotea kwa urahisi. Kama utaona shida tumia pressure cooker nayo ina save time.

In between maandalizi ya chakula na vikazi vingine vidogo vidogo, tuma angalau kama msg kwa kutumia excuse yoyote. Mfano: nimekuandalia shati fulani au niandae na jingine utakuja kuchagua? Au leo usile sana nimetengeneza kitu special. Mkisha kula mwambie njoo uku tutie stori, wakati unaosha vyombo. Hapo anaweza kukusaidia ili aharakishe mambo. Hiki kitu mwiko kufanya ndugu zake au rafiki zake wakiweko. Watamfanya ajisikie amelishwa limbwata.

Baadaye, inategemea how formal you are, si una yale madera uliyopewa? Dera liache mbali chukua mtandio. Hilo ndio vazi lako and enjoy your husband.
 
Samahani kwa hili swali sipo kiimani lakini naomba niulize ni muislamu au mkristo wewe?
Samahani siwezi kujibu hilo swali kwakuwa "Stereotyping" ni kwa watu wenye mtazamo finyu sana ingawa wewe ninaimani hauko hivyo. Dini wala kabila halina nafasi kwenye hili. Mimi na mke ni wa dini, makabili, mahali tofauti lakini maisha yanakwenda kama inavyotakikana kwa kutambua, kukubali na kuheshimu tofauti zotu za kidini, kikabila na kikanda.
 
Mtazamo wangu lakini huu, mara nyingi naona watu wanao heshimu na kujibehave kama wanawake haswa wanaotakiwa kutimiliza majukumu ya mke ambayo yanatakiwa kufanywa ndani ya nyumba ni wanawake wa kiislamu wana hofu ya mwanaume na kuwa watiifu kwa waume wao
Mimi ni mkristo na mwanamke hichi ninachokiongea nimekiona sana na hata wengine waweza ni afiki sijui kwasabau wanawake wa kikristo tuna jeuri ya mwanamme mmoja mke mmoja mpaka kifo kitutenganishe. hayo ni mawazo yangu mimi.
 
Inawezekana kweli ulichosema, lakini suala la mke mmoja mume mmoja kwa siku hizi halina dini, ingawa kwenye Ukristo si official lakini wanaume wengi wana wake zaidi ya mmoja kama mke na watoto pia na hii si TZ tu bali sehemu nyingi za Africa ambako nimetembea na kufanyakazi. Mimi nadhani heshima kwa mume inatokana vilevile na malezi, wazazi na hasa mama yako amekufundisha nini na amekuelekeza nini juu ya umuhimu wa mume wako na umuhimu wa kumuheshimu mumeo, sasa mama mwenyewe awe na jeuri kama wewe je mtoto wako wa kike atamweshimu mumewe kweli? Wapo wanawake wengi tu wa Kikristu ambao wako superp, wanaheshima kubwa sana kwa waume zao kwakuwa ndivyo dini inavyoelekeza lakini ninyi Waktrsto jina tu, na mkipata elimu kidogo na mkiongezea mambo ya gender sensitivity basi inakuwa balaa tupo, unashindwa hata kumchemshia mumeo chai kisa usawa.
 
Haya asante kwa maoni yako
 
Yaani we acha tuu my dear.. Haaahaaaa mpaka nacheka , it's funny .. The way God works is not the same as humans .. Kibao kimemmgeukia yeye, now who is taking care some of her kids , Yule aliyemtabiria ataolewa na msukuma mkokoteni . Haahaaaa , haki Mungu nimemuona in my life .. . The funniest thing she can't face me to ask for help so she use our other relative to tell me . And I don't ask her why she does that , I just do what needs to be done .. That's why I have said never say never .. Hatujafa na hatujaumbika .. Thanks.
Wewe na loveissweet ni mtu mmoja??kavile umemjibia haswa alichokisema kuhusu kuolewa na msukuma mkokoteni...correct me if am wrong... Maandish hayadanganyi...
 
Kazi za nyumbani noma aisee.....zinachoshaaaaa
 
wanaume bana, kuna siku nilimwambia mume wangu we chafua tu hizo nguo hakuna wa kufua hapa katikatikati ya week, akanimbia kwani nimekuoa ili iweje, nikamjibu cha kwanza ni kuto..............bwa na cha pili ni chop his money. hahahha macho yalimtoka hajawahi tena kuniuliza maswali ya kijinga hivyo
 
Back
Top Bottom