Dinner is ready, my dear 🙂
Ahaaaahaahhaaaa.... Thanks..
Dinner is ready, my dear 🙂
tehe usimwage mchele kwa kuku wengi ssa, bisha kitufe cha pm kipo waz apo.....si watu humu wananitishia kukosa mume lol, nimewaambia toka mwanzo wapo wanaume ambao hawaoni cha ajabu
Wanawake wakitanzania wanaanza kufunguka na kufungua biashara, wanaajiriwa na wengine ni wakulima hiii ni nzuri sana ila house wife ni shida sana kweli karne ya ishirini na moja mwanamke unakuwa house wife [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kudos to all housewives.
hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?
nimepima weeee pamegoma kabisa.
kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.
na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.
Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.
mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!
Dear as I said read my post very well , process it in your brain , if you don't understanding its okay to ask .. There is nothing bad to think that you know something / everything but you don't know and you don't know that you dont know.. Keep think what you think and pick some sentence or word and answer it without understanding it? Its like you are fouling on yourself .. Honestly its okay to say loveissweet you post this but what did you mean by saying that because I don't understand.. " The bible didnt say men are like baby .. But it says this " wife submit yourself to your husband and husband love your wife as Christ loved His church ".. Tafakari the word of " Submit". The bible also says " Diligent hands will rule , but laziness ends in slave labor " .... " He who finds a wife finds what is good and receives favor from the Lord" ... " The wise woman builds her house , but with her own hands the foolish one tears hers down ". " He who guards his mouth and his tongue keeps himself from calamity"... " Better to live on a corner of the roof than share a house with a quarrelsome wife ".. The bible also talks about the Wife of Noble character , why the bible does not talk about the husband of Noble character? Why? Ask yourself and spend more time to know His word.. These are some the wife of Noble Character : " A wife of noble character who can find ? She is worthy far more than rubies".. "Her husband has full confidence in her and lacks nothing of value ".. " She brings him good , not harm , all the days of her life ".. " She selects wool and flax and works with eager hands ".. " She is like the merchant ships, bringing her food from afar". " She gets up while it is still dark ; she provides food for her family and portions for her servant girls ".. " She considers a field and buys it out of her earnings she plants a vineyard ".. " She sets about her work vigorously ; her arms are strong for her tasks " ... " She watches over the affairs of her household and does not eat the bread of idleness ".... " Her children arise and call her blessed her husband also , and he praises her"... "Many women do noble things , but you surpass them all "... What can I say? Just read your bible very well , to prevent your self from the lack of knowledge.. .. . ... Thanks..
Unaongelea nadharia, mambo hayaendani na uhalisia.Mungu alipomuumba mwanamke kama msaidizi wa mwanaume hakusema kuwa huyo mwanamke awe msaidizi wa dudu tu, bali awe msaidizi wa kila kitu katika maisha ya mwanaume.
Mungu alipomuumba mwanaume aligundua udhaifu uliopo kwa mwanaume, alijua kuwa kuna vitu ambavyo mwanaume ambavyo anaweza kuvifanya na kuna vitu ambavyo mwanaume hawezi kuvifanya na ndio maana akamuumba mwanamke ili awe msaidizi kwa mambo ambayo mwanaume hawezi kuyafanya.
Sasa kama wewe unaona alichofanya Mungu alikosea, basi fanya unavyoona wewe inafaa halafu utaona matokeo yake.
sijui wangapi nchi hii wana pesa hizo za kuweka mke housewife...ndo mwanzo wa kutegemea watoto ndo watakuja kuwapeleka nje.Wanawake wakitanzania wanaanza kufunguka na kufungua biashara, wanaajiriwa na wengine ni wakulima hiii ni nzuri sana ila house wife ni shida sana kweli karne ya ishirini na moja mwanamke unakuwa house wife [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hivi hii nayo ni big deal? Nauliza tu maanake nimeona kwenye thread kadhaa huu mstari.sijui wangapi nchi hii wana pesa hizo za kuweka mke housewife...ndo mwanzo wa kutegemea watoto ndo watakuja kuwapeleka nje.
halafu maisha ya kushinda ndani kila siku.... mimi siyatamani kwa kweli.
KUDOS to all housewives.
Shule za kata now kupata house girl ni shida sana
bora kununua tu hizo mashine
mashine ya kufua now laki sita unapata
microwave laki mbili unapata...
better machines......
Wewe ni aina ya wanawake wavivu, nawaheshimu sana wamama wa nyumbani waliokubali kukaa nyumbani na kutekeleza majukumu ya nyumbani.ingekuwa vizuri kama unafanyaga hizi kazi...lakini kama umezoea toka utoto we ni kidume cha kiafrika hugusi dekio samahani sana acha kuongelea.
KAZI ZA NYUMBANI ZINACHOSHA.
bora kuzunguka kwenye kiti huku nakodolea macho PC siku nzima kuliko kushinda napiga sarakasi nyumbani.
Jamii ya huyu mtakula machips ya vibandani mpaka mkome.Unad
Unadeserve kuwa mchepuko tu wanawake wa type yako ni Hatari kwa afya ya ndoa
Kuna tatizo gani mwanamke kuwa housewife kama mmewe naweza ku afford majukumu yote ya nyumbani?Wanawake wakitanzania wanaanza kufunguka na kufungua biashara, wanaajiriwa na wengine ni wakulima hiii ni nzuri sana ila house wife ni shida sana kweli karne ya ishirini na moja mwanamke unakuwa house wife [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sasa huyu unaoa wa kazi gani Unakuja chakula cha house girl mke yupo, hata kuwa mchepuko hafaiJamii ya huyu mtakula mschips ya vibandani mpaka mkome.
Exactly Mkuu.Sasa huyu unaoa wa kazi gani Unakuja chakula cha house girl mke yupo, hata kuwa mchepuko hafai
nahisi mleta huu uzi ashawahi leta uzi mwengine akimpa kekeke sifa lukuki huku akituponda sie wanaume wa mzizimaMleta uzi kanielewa Boss ngoja aje
yes ni big deal kwangu. don't make it look like ni kitu cha kawaidaa. wangapi wamepelekwa hata Kenya na wazazi wao!!Hivi hii nayo ni big deal? Nauliza tu maanake nimeona kwenye thread kadhaa huu mstari.