I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Kuna tofauti kati ya kutotaka kufanya kazi za ndani na kukosa muda wa kufanya hizo kazi ndani. Wewe sio kwamba umekosa mda wa kufanya kazi ndani, bali hutaki kwa sababu hupendi kufanya hivyo.

Nataka nikwambie kitu kimoja; upendo sio ngono peke yake. Na kama unadhani upendo ni ngono peje yake basi wewe bado hujajua maana ya upendo.

Hivyo vishughuli vidogo vidogo ambavyo wewe unavidharau na hutaki/huna mda wa kuvifanya ndio ambavyo vinasaidia kuongeza upendo katika ndoa. Na kwa taarifa yako, kufanya hizo shughuli kwa mke sio ombi bali ni lazima kwa sababu ni wajibu wako, hata kwenye mafundisho ya ndoa inafundishwa hivyo.

Hakuna mtu katika ulimwengu huu anayependa kuishi na mtu mvivu. Kama nyinyi wanawake msivyopenda kuwa na mwanaume asiyekuwa na kazi ya kufanya hali kadhalika wanaume pia hawapendi mwanamke ambaye hataki kujishughulisha na kitu chochote. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye amekaa nyumbani kama pambo tu; kazi yake yeye ni kula, kwenda chooni, kuoga, dudu na kulala.

Uvivu wako wa kipumbavu utasababisha kutoa mwanya wa ndoa yako kuja kuvunjika kwa sababu ipo siku atatokea mwanamke ambaye atagundua mapungufu hayo katika ndoa yako na atayatumia mapungufu hayo kama silaha ya kumteka mumeo.

USHAURI WA BURE

Usiruhusu uvivu wako na mawazo yako ya kipumbavu yakawa ndio chanzo cha kuharibu ndoa yako. And yes, ninasema ni uvivu na mawazo ya kipumbavu kwa sababu unajua jambo sahihi unalopaswa kufanya, lakini kwa sababu ya uvivu na mawazo yako ya kipumbavu unaamua ku-justify wrong as right.
Sidhani kama amekuelewa kwa kwel maana unafikr et mwanamke kazi yake ngono na watoto basiii anaweza ujinga ujinga tu ndo tatzo LA hawa ambao hawajaingia mwenye ndo kila kitu wanafanya imagination
 
Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop

lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Hahahahha dah...

Sijui kwanini umesahau "Kukata kucha kuna madogo janja"
 
Mashine ya kufulia kwa maji gani? Haya maji machafu ya dawasco? Come on. Acha uchoyo hire two young people wa kike na kiume wakusaidieni. Wa kike ndani, wa kiume nje. Stop being selfish.... Kuna unemployment rate kubwa sana jamani.

By the way, now vijana wa ku hire ni lazima wawe wamefika hata form four.
Kwanini usiwaajiri wewe mwenye shida nao?
 
Wewe fanya kazi yako moja tu ya Muhimu,Hizo zingine muachie house gal
 
I don't know all these you posted came from.. First understand me , I'm not here to argue with you or changing whatever your opinion is

Neither am I

I did not say that I am perfect wife or I do understanding everything in this world..
.. There is nothing bad to think that you know something / everything but you don't know and you don't know that you dont know..
Well don't tell me that I don't know what I'm talking about just because we disagree. It makes you look like a know-all yourself.

.
It does not matter whether the word of God written when women were housewife or not but still the word of God will remain stands forever..
Yea the word also says to stone glutton children to death.

I don't wanna meddle with people's beliefs...(but of course I disagree as I explained).,
Men will always be men

There are different types of men! Don't group em like chickens!

.Some men may pretend to do all that houseworks because you are not marry them yet wait when they marry you ,

Muhaha is that what happened to you! Well what do you expect from a man who believes housechores are for women? There are men out there with a different upbringing and different views of life. maybe you've never met them. kwenye ukoo wetu wameingia weeengi.

The way how you talk to him it will make the results you need..

I don't need to convince him. Make it click in your head that there are men who understand that house chores are their responsibility. Maybe you've never met them.

There is no men ambaye utamuaamrisha ( kwa kauli uliyosema kwa thread ) kufanya kazi za house akakubali never because they so believe those works are for women..
AGAIN THERE ARE DIDFERENT TYPES OF MEN OUT THERE.

mpaka niite watu dear dear ndo nionekane siamrishi! huu ndo mwandiko wangu! plus sijaja kubembeleza hapa nimekuja kuargue.

kwanza mie mpooole 🙂
 
Kuna tofauti kati ya kutotaka kufanya kazi za ndani na kukosa muda wa kufanya hizo kazi ndani. Wewe sio kwamba umekosa mda wa kufanya kazi ndani, bali hutaki kwa sababu hupendi kufanya hivyo.

Nataka nikwambie kitu kimoja; upendo sio ngono peke yake. Na kama unadhani upendo ni ngono peje yake basi wewe bado hujajua maana ya upendo.

Hivyo vishughuli vidogo vidogo ambavyo wewe unavidharau na hutaki/huna mda wa kuvifanya ndio ambavyo vinasaidia kuongeza upendo katika ndoa. Na kwa taarifa yako, kufanya hizo shughuli kwa mke sio ombi bali ni lazima kwa sababu ni wajibu wako, hata kwenye mafundisho ya ndoa inafundishwa hivyo.

Hakuna mtu katika ulimwengu huu anayependa kuishi na mtu mvivu. Kama nyinyi wanawake msivyopenda kuwa na mwanaume asiyekuwa na kazi ya kufanya hali kadhalika wanaume pia hawapendi mwanamke ambaye hataki kujishughulisha na kitu chochote. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye amekaa nyumbani kama pambo tu; kazi yake yeye ni kula, kwenda chooni, kuoga, dudu na kulala.

Uvivu wako wa kipumbavu utasababisha kutoa mwanya wa ndoa yako kuja kuvunjika kwa sababu ipo siku atatokea mwanamke ambaye atagundua mapungufu hayo katika ndoa yako na atayatumia mapungufu hayo kama silaha ya kumteka mumeo.

USHAURI WA BURE

Usiruhusu uvivu wako na mawazo yako ya kipumbavu yakawa ndio chanzo cha kuharibu ndoa yako. And yes, ninasema ni uvivu na mawazo ya kipumbavu kwa sababu unajua jambo sahihi unalopaswa kufanya, lakini kwa sababu ya uvivu na mawazo yako ya kipumbavu unaamua ku-justify wrong as right.
hakuna jipya ulilosema. umerudia rudia kila kitu kishasemwa na kujibiwa huko nyuma.
 
Huwezi kosa mtu atakaye ishi na wewe kwa stail yako, ila yataka moyo kweli
lol
unakubali kuwa kuna wanaume tofauti na wewe?
na watu wenye lifestyle tofauti na watu wa kijijini kwenu?
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!
Kama uliolewa hivi karibuni bila shaka una washing machine, itumie kama huna tafuta mtu wa kufua na kupiga pasi. Hakikisha unakagua nguo hizo vizuri. Rice cooker itakusaidia, wali perfect kila ukipika, hata pilau unamalizia humo humo. Kama una uwezo Maharage ya wiki chemsha, gawanya kwa mlo, freeze. Kama unatumia kisamvu unaweza pia kukichemsha, nyama kata kabisa chemsha, hifadhi kwa mafungu. Microwave ni rafiki yako, itumie vizuri. Kwa kifupi jipange.
 
🙂
 
Hakuna mtu anayesema working mothers ni hovyo, tunachosema, ni kufanyakazi kusikuzuie kutimiza majukumu yako ya nyumbani.
ah unarudiaa.

HAMNA MWENYE HOJA MPYA?

Nimechoka hii thread... byee
 
Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop

lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Wamebaki wachache sana ndo maana ndoa ni shida
 
Back
Top Bottom