I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

hata nao sawa tu, hebu fikiria umemkuta mkeo jikoni, uji unachemka ukamwambia mama chanja wangu lete leo nikuoneshe ufundi.. ukausonga mkala kwa furaha... unafikiri utanyimwa mechi?
Hapo lazima upewe papuchi kwakweli
 
Haki sawa kwa wote.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na wife house anayetunzwa vizuri. Mimi na deka sana kwa mke wangu. Kwakuwa haendi kazini katika mambo anayofanya ni kunishawishi aonekane mpya na mzuri kila siku. Nikurudi nyumbani nakuta watoto wamekula, wamelala kwa wakati. Chumba kimepambwa kwa shuka za kukaribisha, chumba kinanukia ubani na mama ameshamaliza kazi zake binafsi na za kuwasimamia wengine, anamsubiri mzee tu akiwa amevaa kanga moja, believe me naulizwa wataka kuoga kwanza, kula au kunila mimi? Napenda sana chai, nakuta chai yenye viungo barabara imeshaandaliwa. Sasa kama Mungu amenipa uwezo kwanini ni mruhusu mke wangu akagusweguswe mwili wake na watu wa hovyo kabisa wakati ninauwezo wa kumpa anachofuata kazini na ninamwezesha kidogokidogo kwa ajili ya baade ili asimame mwenyewe.
 
Kwahyo kuliko kuhudumia nyumba yako bora uhudumie ofisi ya bosi wako??

Ndo wazungu walipotufikisha...
Hizi ni fikra hasi. Mwanamke haolewi kwenda kuhudumia nyumba kama housemaid,anaolewa akawe pambo la nyumba,utulivu na furaha na faraja ya mumewe.Full stop.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na wife house anayetunzwa vizuri. Mimi na deka sana kwa mke wangu. Kwakuwa haendi kazini katika mambo anayofanya ni kunishawishi aonekane mpya na mzuri kila siku. Nikurudi nyumbani nakuta watoto wamekula, wamelala kwa wakati. Chumba kimepambwa kwa shuka za kukaribisha, chumba kinanukia ubani na mama ameshamaliza kazi zake binafsi na za kuwasimamia wengine, anamsubiri mzee tu akiwa amevaa kanga moja, believe me naulizwa wataka kuoga kwanza, kula au kunila mimi? Napenda sana chai, nakuta chai yenye viungo barabara imeshaandaliwa. Sasa kama Mungu amenipa uwezo kwanini ni mruhusu mke wangu akagusweguswe mwili wake na watu wa hovyo kabisa wakati ninauwezo wa kumpa anachofuata kazini na ninamwezesha kidogokidogo kwa ajili ya baade ili asimame mwenyewe.
Ha ha haa
 
Comment hiyo ilinishangaza na naona humu mnaumiza vichwa tu. Alikosa mapenzi na huruma kwa babake akamuacha nyumbani mwenyewe bila kujali nani atamhudumia mzee. Sigh....
Familia nazo malezi yanatofautiana hivi unakaaje hostel wkt kuna nyumbani, maybe ishu za kwenda shule sawa
 
Ndio mwanamke kazi yake dyuuudyuuuu tuuuu na sio kupiga deka n n.k
 
. Pamoja na yote hayo mke wangu anatambua kuwa ni wajibu wake kufanya kazi za nyumani, namimi ni wajibu wangu kutafuta chakula na mahitaji muhimu kwa ajili ya familia yangu japo mke wangu hunisaidia pia katika hayo pale ninapokwama kifedha.

Mke wangu ni Mwalimu. Pamoja na kuwa housegirl.
Hapa ndo mimi nashangaa.

Umesema wewe hufanya kazi za nyumbani.

Lakini kumbe pia mkeo ni mwajiriwa.

Sasa unaposema anajua ni jukumu lake kufanya kazi za nyumbani na unajua jukumu lako la kuleta mkate, wakati wote wawili mnafanya vyote, SIELEWI.

Ni kwamba ndani yako bado kuna conflict, unataka kujulikana kama the main breadwinner wakati wote wawili ni maBread winner.

Wengine hujipa moyo kwa kusema "ananisadia nikikwama" wakati inajulikana kabisa kila budget wote mnachangia.

au hela zake zinafanya nini kama si kuhudumia watu wake ?

Hili ndo tatizo la kisaikolojia walilonalo wanaume wengi huku.

Ndomana hata mwanamke akitengeneza pesa nyingi kuliko mwanaume, mwanaume atatafuta njia za ajabu kuboost ego, ikiwemo kutomsaidia HATA kipindi anahitaji msaada.

Kuna thread mmama alianzisha, mume wake kapoteza kazi basi mke akirudi jioni mume hajafanya kitu, ni tv tu, hata mtoto akilia, mke anatolewa jikoni ambembeleze!!

Imefika muda mkubali tu dunia imebadilika.

Kama mkeo sio housewife, ukubali wote wawili ni mabreadwinner na wote mna jukumu la kutunza nyumba. Wala uanaume wako haupungui.

Uanaume wako utajihidhirisha in everyday life. Akitokea nyoka utaitwa. Zisikisikika kelele usiku utatoka peke yako. Ndege wakisogeza dish utapanda kutengeneza. Mtaongoza misiba. Men are physically stronger and more daring no? Lol
 
Yote uliyoyaeleza kwa mtizamo wako upo sahihi. Mimi sina comment kikubwa kuwa mimi ninaishi kwa amani na familia yangu na ninajua simdhulumu.
 
I see you answer on any lines that clicked on your head .. Just know that nazi huwa haishindani na jiwe .. Thats why God had a reason to created a woman and man.. And tofauti zao.. .. God had a purpose by doing this .. His ways not our ways , His thoughts not our thoughts ...Aaahhaaa... So do you want to compete with God okay feel free to do that if you can .. Thanks..
Did god say men are babies to be taken care of?

Haya ni mambo tu tunafundishwa wanawake wa kiafrika, kumdekeza mume.

Utamaduni wa kumdekeza mwanamke haupo kabisa. Eti I'm competing with god! Hahaha.

A man who loves me will help me and spoil me. No holy divine plans destroyed here
 
Ndio mwanamke kazi yake dyuuudyuuuu tuuuu na sio kupiga deka n n.k

Wanaume mna kazi aiseee...kuchagua wake.!!!!!! Ni kazi...
Ukilelewa kivivu..utazeeka kivivu...kuolewa sio dyu dyu tu
Siwez kushindana na mume wangu kwa kazi za nyumbani..et asiposaidia ninune..he does a lot kazi anayofanya ni ngumu kuliko mimi na bado mshahara wake ananiletea japo yeye ndio anahenya kazini...
Km vipi housegal wapo kwa uvivu huo utaibiwa ht na housegal mana ht kitanda na chupi atakufulia

Huu msemo kwa mume dyu dyu naona mmeuelewa vibaya.

Ni msemo tu kuwaambia wanawake wajitegemee wasisubiri mume wa kuwatunza. Manake kwa wengine ugolikipa ndio chanzo cha mateso.

Pia its not a matter of kushindana. Point is wote mnaenda kazini mmechoka so kazi za nyumbani ni kusaidiana. Enzi za kazi ni za nyumbani ni za mwanamke zimeisha.

Of course unaangalia na hali, kama mume ni mbeba zege, wewe ni mwalimu, you consider that
 
Nakukumbusha tu kuwa usishindane katika ndoa. Sometimes marriage means sacrifices, usipimane ubavu, hakuna atakayeshinda zaidi ya kuharibu ndoa. Upendo hauhesabu mabaya wala upendo hauhesabu idadi ya mema unayoyafanya kila siku. Love means sacrifices. Ww ishi utakavyo katika ndoa yako si kuwashawishi watu hapa eti wanaonewa na waume zao
 
Back
Top Bottom