I'm so low nifariji

I'm so low nifariji

Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.

Pole sana dada,dry chama mbaya kama haupo tayari kuleta kiumbe...jamaa kamwaga mauji halaf hataki mtt
 
Just tambua kwamba siku hazifanani, wewe unapanga na Creator naye alishapanga. N a kushindwa leo ndio mwanzo wa mafanikio ya kesho. Hauko pekeyako kuna walioshindwa makubwa kuliko wewe. Wapaswa kumshukuru Mungu kwa kukuwezesha kufanya na kufanikisha hayo machache uliyoweza.

asante
 
^^
Usiumie zaidi, kwani safari ya maisha haikuwahi kuwa rahisi kwa yeyote aliyepangiwa mafanikio! Legeza mwili.. Kama leo umekwama kesho itafunguka! Utafurahi.. Ndiyo huhitaji kuamini kila mtu ila unahitaji kuamini katika wewe! Rudi katika nafasi yako! Jipende! Jijali! Furahia.
Dont worry too much about tomorrow for God has been there for you!
Remember to smile inside yourself
^^

Amen. nimejikuta naimba huu wimbo


  1. What a friend we have in Jesus,
    All our sins and griefs to bear!
    What a privilege to carry
    Everything to God in prayer!
    Oh, what peace we often forfeit,
    Oh, what needless pain we bear,
    All because we do not carry
    Everything to God in prayer
  2. Have we trials and temptations?
    Is there trouble anywhere?
    We should never be discouraged-
    Take it to the Lord in prayer.
    Can we find a friend so faithful,
    Who will all our sorrows share?
    Jesus knows our every weakness;
    Take it to the Lord in prayer.
  3. Are we weak and heavy-laden,
    Cumbered with a load of care?
    Precious Savior, still our refuge-
    Take it to the Lord in prayer.
    Do thy friends despise, forsake thee?
    Take it to the Lord in prayer!
    In His arms He'll take and shield thee,
    Thou wilt find a solace there.
  4. Blessed Savior, Thou hast promised
    Thou wilt all our burdens bear;
    May we ever, Lord, be bringing
    All to Thee in earnest prayer.
    Soon in glory bright, unclouded,
    There will be no need for prayer-
    Rapture, praise, and endless worship
    Will be our sweet portion there.
 
Pole kila jambo hutokea kwa sababu,pamoja hatujui kinachokusibu jipe moyo utavuka salama,chukulia mfano mdogo wa mkondo wa maji na tabia zake,maji yanapotiririka yakikuta kizuizi huwa na choice 3,moja kama kizuizi ni kidogo hukiondoa yaendelee na safari,kizuizi kikiwa kikubwa hufanya maamuzi either yapishe kizuizi pembeni yaendelee na safari au yatulie yakusanyike yawe mengi na hatimaye yakivuke kile kizuizi,daima hayarudi nyuma ,nawe usikate tamaa vua viatu kung'uta vumbi songa na life.

sio kazi rahisi lakini mfano wa maji umenipa nguvu mpya
 
Pole sana ngoja nije PM unieleze tatizo lako naweza kukuombea
 
Maisha ni mapito rafiki na yamejengwa na changmoto nyingi!bila changamoto maisha haya yangekuwa yanaboa sana.changamoto hizo zinapima uvumilivu wetu na uwezo wetu wa kuchanganua vitu kwa maarifa.Chukulia haya unayoyapitia sasa ni mapito katika maisha wakati wa kuvuna utafika na utasahau machungu na maumivu yote!

asante kwa faraja
 
zijapopita siku za furaha USIHUZUNIKE bali UFURAHI kuwa zilikuwako...! kumbuka anayekunyima furaha yuko mahali anaenjoy maisha so why fuss??? U MAY LOOSE TRUST ON HIM BUT NEVER ON YOU!
 
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.

pole kibebi uskate tamaaa anza kujiwekea akiba mapema kabla mimba haijawa kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom