The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
To be down sometimes is human, to be always up is fictitious.
Cry, scream, yell, shout. Utapata ahueni isiyo na mfano.
So true
To be down sometimes is human, to be always up is fictitious.
Cry, scream, yell, shout. Utapata ahueni isiyo na mfano.
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Nishirikishe nikupe faraja ya mwili na roho....
Pole sana mpenzi, Mungu akutie nguvu katika hili pia. Kwanza hongera kwa maamuzi mema uliyoyafanya,lea mimba yako mama,trust me,it's the best decision you will make in your life! Kwa sasa unaweza ona kama ni maamuzi magumu sana na sintofahamu nyingi zimegubika mawazo yako ila hakuna kisichowezekana chini ya jua. Piga moyo konde na anza maisha yako na ya mwanao upya. If you ever need a friend,i am here for you love.
Nili guess hata kabla hujafunguka. Mh nyie wadada nyie! Pole lakini.Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Guys, habari ya hapo mulipo? Jioni hii niko down sana. Najisikia kukata tamaa kwani nilivyopanga haijawa kama nilivyotarajia. Pia ninapitia wakati mgumu sana kibinadamu. Naomba unifariji. Jisikie huru kuweka ujumbe wako hapa au kuja PM kuweka ujumbe wenye faraja na huenda nafsi yangu itapata ahueni. Naogopa kushirikisha watu kile kinachonisibu wengi siwaamini. Afadhali hapa JF walio wengi hatufahamiani.
Asanteni.
Drop fast as possible ghetto kwangu nikufariji kibebi changu jama.Guys, habari ya hapo mulipo? Jioni hii niko down sana. Najisikia kukata tamaa kwani nilivyopanga haijawa kama nilivyotarajia. Pia ninapitia wakati mgumu sana kibinadamu. Naomba unifariji. Jisikie huru kuweka ujumbe wako hapa au kuja PM kuweka ujumbe wenye faraja na huenda nafsi yangu itapata ahueni. Naogopa kushirikisha watu kile kinachonisibu wengi siwaamini. Afadhali hapa JF walio wengi hatufahamiani.
Asanteni.
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Na wewe una kizaigoti?
Sasa Mbona hujaniambia..what's wrong?
ndio. miezi 2.
Hapo mbwa mwitu wa JF wanaokimbiliaga PM watakuwa wamefunga breki kali mno!!! hahahaha......
Afu aliekiwekamo hakitaki eti
asante kwa kukubali kuwa karibu nami katika kitendawili hiki. niombee mpendwa.