I'm so low nifariji

I'm so low nifariji

Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.

POLE pole sana best

Kamwe USITOE HYO mimba ujui mipango YA MUNGU yawezekana atakuwa kiongoz huyo na ukitoa usiPokuja kupata mwingine utamlalamikia nan
ni kweli unapitia wkati mgumu ila jipe moyo utashinda kwa Nguvu za MUNGU
 
usijaliumeangukaje, angalia unainuka vipi. Lea mimba mpaka Mungu atakapokujaliakujifungua. Sijajua unaabudu dini gani lakini Mungu ni yule yule mmoja – katikakitabu cha Mwanzo 18:14 Bibilia inasema “Hakuna jambo linalomshinda BwanaMungu.
Munguni wamiujiza na maajabu makubwa sana ya kushangaza, atakuvusha kwa hili na piaatakuweza mpaka utashangaa ukimtegemea yeye na kumuamini yeye.
Kamauko interested na ushuuda just PM me.
Otherwise,1. hauko peke yako, Mungu hawezi kukuacha!2. Wewe si wa kwanza wala wa mwisho
 
pole sana kibebi Amini Mungu yupo mwamini yeye atayanyoosha mapito yako, usijione mwenye bahati mbaya my dia kung'uta vumbi songa mbele.

Najua si rahisi kama ninavyoandika ila kubali haya ndio maisha, kuna mwingine anapita kwenye wkt mgumu kwa kukosa mtoto na yupo kwenye ndoa.

Wengine wana ndoa na watoto ila hakuna amani, mshukuru Mungu kwa kila hatua unayoupiga ktk maisha!! Jipe moyo usiishie kwenye kuwaza tu tafuta na kakipato ka ziada hata kama ni kadogo!!
 
This is my Father's world.
O let me ne'er forget
that though the wrong seems oft so strong,
God is the ruler yet.
This is my Father's world:
why should my heart be sad?
The Lord is King; let the heavens ring!
God reigns; let the earth be glad!
 
Pole sana, Mimba ni rahisi sana kulea kwani tumbo kila mahali unakuwa nalo,ishu kubwa ni kwenye mtoto kama huna support walah unahisi dunia imeturn agaist you, All in All lea hiyo mimba mengine yatajulikana mbeleni..Huyo mwanaume achana nae,hukupangiwa na mwenyezi mungu awe wako...


Pole sana maisha ni very rough lakini kwa hili usitoe endelea kulea na mambo mengine mbele kwa mbele
 
take a walk 2 somewhere qiet.remember that not every we plan goes according 2 our wish,we just human we're not perfect.
 
Pole sana my dear,upo mkoa gani?lea mimba yako,zaa mwanao,kama upo mkoa niliopo sitoona shida kukusaidia mi nipo arusha
 
Maisha ni mapito rafiki na yamejengwa na changmoto nyingi!bila changamoto maisha haya yangekuwa yanaboa sana.Changamoto hizo zinapima uvumilivu wetu na uwezo wetu wa kuchanganua vitu kwa maarifa.Chukulia haya unayoyapitia sasa ni mapito katika maisha wakati wa kuvuna utafika na utasahau machungu na maumivu yote!

Nimeipenda hiyo picha, nitumie whattsap please. hahahah
 
lea huo ujauzito wangu binafsi sikushauri utoe pamoja na magumu unayopitia mungu ni mwema
 
Pole dear..Lea ujauzito wako na mkabidh Mungu maisha yako hope atafungua milango ya Baraka kwako...
Huyo mwanaume achana nae hana mapenzi ya dhat kwako
 
This is my Father's world.
O let me ne'er forget
that though the wrong seems oft so strong,
God is the ruler yet.
This is my Father's world:
why should my heart be sad?
The Lord is King; let the heavens ring!
God reigns; let the earth be glad!

Ooh what a Hymn naipenda saa hii Mrembo by Nature
kibebi take heart shukuru kw yote kila kitu kitakuwa sawa
 
Last edited by a moderator:
Ooh what a Hymn naipenda saa hii Mrembo by Nature
kibebi take heart shukuru kw yote kila kitu kitakuwa sawa

Mmiliki wa hii dunia ni Mungu pekee ambae ameshikilia maisha ya watendwa na watenda, muhimu kumuachia yeye atajua cha kufanya. Hakuna kitu kibaya km mtu kutoa machozi ya maumivu kwa ajili yako. Mungu analipa on the spot
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom