I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

1. Msimamo ninao ndomana nimechukua maamuzi magumu sijauendekeza moyo. Kuzaa asingenilazimisha lakini nimeangalia muda, I'm 23yrs now, baada ya miaka 2 ya kuendelea kuvumilia + mkazo wangu wa kutokubali zinah ntakuwa na 25yrs, nikifika hapo nitakuwa sina choice tena nitafanya lolote atakalotaka.
2. Sababu ya kuharakisha ndoa ni hofu ya Mungu nilonayo naogopa kuikaribia Zinah.
Kiufupi tumemsoma tuu binti, pengine ni binti anataka ndoa ya haraka!
Halafu suala la kuzaa ni lao wawili akikataa binti sidhani kama huyo mwanaume atalazimisha! Ni kuwa na msimamo tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran
الزَّانِي لَا يَنْكِحُ إِلَّا زَانِيَةً أَوْ مُشْرِكَةً وَالزَّانِيَةُ لَا يَنْكِحُهَا إِلَّا زَانٍ أَوْ مُشْرِكٌ ۚ وَحُرِّمَ ذَٰلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ

(Ali Muhsin Al-Barwani)
Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini.

-Sura An-Nur, Ayah 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom