Ye anajiona tayari jamani
Msome binti mwenyewe anasema anapendwa!Hakuna kitu. Huyo swala anaetaka kumzalisha huyu binti hafai hata kuendelea nae mahusiano. Huyo jamaa hampendi huyu binti take it from me!
Hakunaga kujifunza kumpenda mtu! Mimi ni mwanamke, huwezi nioa sijawahi kuwa hata rafiki yako useme nitakupenda!Ni bora aolewe na mtu ambae hampendi lakini itafika kipindi upendo utatengenezwa taratibu kuliko kuzalishwa na kuleta wingi wa single mom huku mtaani alafu jamaa akaingia mitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi tumemsoma tuu binti, pengine ni binti anataka ndoa ya haraka!Sasa kama hajaweka mambo yake sawa kwa nini anataka kumchafulia hali ya hewa mwenzake kama bado financial hayupo vizur bado anao muda wa kusubili na kumwambia mwenzake hili ajipange kwa kipindi kijacho lakini sio kumtandika limimba alafu amtelekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubalie huyo mwingine, huyu wa sasa hana malengo na wewe na ndo mana alitaka akuzalishe kabla ya ndoa ili akukimbieSalaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,
Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.
NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala hapa ni yeye aangalie moyo wake unataka nini! Na ndoa sio ya kusema ni sababu hatuijui kesho!Kuna msemo hua tunasemaga shahada mwisho ni mara tatu tu, ya mbele hayo ni majukumu ya Mungu hayaingiliwi sote tumo humu hatujui jama jioni tutafika au tukafariki kabla ya kula cha mchana, of course ndoa s kuvaa shela wala pete ibataka kujitoa nyie wahusika yeye mwenyewe kama kishaona anastahili ana watamudu aolewe zake tu wapo watu waliwasubiri wapenzi wao waliowapenda wafikie huko na mtu akawakataa wote abakie na huyo isifae pia bas kama yeye anaona asiolewe na wengine amuoe yeye wakat mwengije riziki hufunguka baada ya ndoa kwa hiyo hata kama miaka 23 midogo akubali kuendelea kuziniwa tu? Huyo kaka amuoe kama anamhitaji wataishi hivo hivo
Hivi una umri gani? Samahani lakini!Kiufupi tumemsoma tuu binti, pengine ni binti anataka ndoa ya haraka!
Halafu suala la kuzaa ni lao wawili akikataa binti sidhani kama huyo mwanaume atalazimisha! Ni kuwa na msimamo tuu!
Siyo kweli kijana, mimi mke niliyemuoa sijatembea nae mpaka nilivyomuoa.Yaan watu wote hao wanakuja kukutolea posa,inamana unawapanga ama,inamana wote unaongea nao,na kibongo bongo had mtu aje atoe posa manake lazma kashaonja
Kwahyo wew ni mama huruma ama
Acha kwanza hyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
40
Inawezekana hukutembea naye lakini ulikua unamfahamu vizuri?Siyo kweli kijana, mimi mke niliyemuoa sijatembea nae mpaka nilivyomuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana!