I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Kiufupi tumemsoma tuu binti, pengine ni binti anataka ndoa ya haraka!
Halafu suala la kuzaa ni lao wawili akikataa binti sidhani kama huyo mwanaume atalazimisha! Ni kuwa na msimamo tuu!
Wanaume hatujawahi kulazimisha kuzaa.

Mwanamke usipotaka kuzaa huzai ukiamua unazaa bila hata idhini yangu.
 
Wanaume hatujawahi kulazimisha kuzaa.

Mwanamke usipotaka kuzaa huzai ukiamua unazaa bila hata idhini yangu.
Ndo maana nikasema tunamsoma tuu mdada! Uamuzi wa kuzaa ni wake, akiwa na msimamo hawezi kuzaa kabla ya ndoa!
 
sure bado sanaaa.. mambo ya kufa na kuzikana yaanze umri huo haki kujidhulumu[emoji14][emoji14]
Maisha ya ndoa siyo lelemama kwa umri huo bado sana, ila kuna watu wanasema umri huo tayari umri wa mwanamke kuolewa ni kuanzia miaka 27 anakuwa amesha komaa kiakili..

Miaka 23 bado anaakili za kitoto akikaa kwenye ndoa miaka miwili visa vinaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa dada yangu katika wale mabinti zako akatokea kijana anataka amzalishe binti yako kwa style hiyo ya kupima UGUMBA utaibariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza siwezi ruhusu uhusiano wa hivyo! Kama yupo na binti yangu ni kwa utaratibu wa kidini.

Sitaki kuamini kama binti alishasema kwa mamake kwamba kijana anataka kupima ugumba. Huko ni kukosa malezi.

Binti awe na msimamo tuu, sizai kabla ya ndoa! Wao wawili wanajuana kuliko sisi tunavyowajua!

Akiona hapo hapamfai ana uamuzi wake wa kukaa na kutafakari upya!

Mimi siwezi mruhusu binti yangu aolewe na mwanaume tuu kisa kaleta posa! Huko ni kama kumuuza!
 
Inawezekana hukutembea naye lakini ulikua unamfahamu vizuri?
Ndugu wanaume tumeumbwa kuongoza, sasa utawezaje kuwa kiongozi hali yakuwa huna maono? Unapaswa kukijua kitu uhalisia wake hata kama hujakishika mkononi!
Sasa wewe yaani huwezi kumjua mwanamke vizuri mpaka ulale nae? Sasa kwa mwendo huo si utajiingiza shimoni.
Mimi binafsi hata binti nikikutana nae ndani ya basi, akibahatika kuzungumza nami japo kwa dk 10 yatosha kujua ni mtu sahihi au laa. Yawezekana labda siyo hali ya kawaida lakini kwangu huwa haiwi shida kumtambua binti ni wa aina gani.
Zipo njia nyingi za kujiridhisha kuhusu mwenendo wa mtu na tabia zake bila kutembea nae kimwili. Pia zipo namna nyingi za kumfanya binti akupende au aanze kuwa na hisia nawe hata kama alikuwa hakupendi.
TENGA MUDA HII NAYO NI ELIMU!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza siwezi ruhusu uhusiano wa hivyo! Kama yupo na binti yangu ni kwa utaratibu wa kidini.

Sitaki kuamini kama binti alishasema kwa mamake kwamba kijana anataka kupima ugumba. Huko ni kukosa malezi.

Binti awe na msimamo tuu, sizai kabla ya ndoa! Wao wawili wanajuana kuliko sisi tunavyowajua!

Akiona hapo hapamfai ana uamuzi wake wa kukaa na kutafakari upya!

Mimi siwezi mruhusu binti yangu aolewe na mwanaume tuu kisa kaleta posa! Huko ni kama kumuuza!
Sasa umeongea kama mama! Kama text zote zingekuwa hazipo halafu ikawa hii ndo ya kwanza na ya mwisho, maamuzi yangebidi yawe hivi:-
1. Mahusiano na boyfriend yaishe!
2. Amuombe mungu wake msamaha!
3. Ajiridhishe kama huyu mchumba anakidhi vigezo.
4. Aolewe au asubiri mchumba sahihi.(itategemea jibu la kipengele cha 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanaume tumeumbwa kuongoza, sasa utawezaje kuwa kiongozi hali yakuwa huna maono? Unapaswa kukijua kitu uhalisia wake hata kama hujakishika mkononi!
Sasa wewe yaani huwezi kumjua mwanamke vizuri mpaka ulale nae? Sasa kwa mwendo huo si utajiingiza shimoni.
Mimi binafsi hata binti nikikutana nae ndani ya basi, akibahatika kuzungumza nami japo kwa dk 10 yatosha kujua ni mtu sahihi au laa. Yawezekana labda siyo hali ya kawaida lakini kwangu huwa haiwi shida kumtambua binti ni wa aina gani.
Zipo njia nyingi za kujiridhisha kuhusu mwenendo wa mtu na tabia zake bila kutembea nae kimwili. Pia zipo namna nyingi za kumfanya binti akupende au aanze kuwa na hisia nawe hata kama alikuwa hakupendi.
TENGA MUDA HII NAYO NI ELIMU!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijamaanisha kwamba ni mpaka lazima ulale naye,lakini kwa mtu ambae unategemea kumuoa,hiyo ni lifetime commitment,lazima ujiridhishe vya kutosha Mkuu kabla hujaingia kwenye ndoa!
 
Sasa umeongea kama mama! Kama text zote zingekuwa hazipo halafu ikawa hii ndo ya kwanza na ya mwisho, maamuzi yangebidi yawe hivi:-
1. Mahusiano na boyfriend yaishe!
2. Amuombe mungu wake msamaha!
3. Ajiridhishe kama huyu mchumba anakidhi vigezo.
4. Aolewe au asubiri mchumba sahihi.(itategemea jibu la kipengele cha 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata saivi anapaswa atubu! Ndipo amuombe Mungu amuonyeshe aliye sahihi kwake!
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo unatoa?
 
Wakat mwengine Mungu akutaka kukupa hakuandikii barua, kua huo ajae ndio niliekupangia naye matendo yataongea zaidi
Suala hapa ni yeye aangalie moyo wake unataka nini! Na ndoa sio ya kusema ni sababu hatuijui kesho!
Huwa naamini kitu kimoja, kama Mungu kakupangia wako yupo tuuu. Anaweza asiwe huyo aloko nae wala hao waliokuja kumposa!

Kama dhambi ya kuzini keshaifanya, ni yeye kuomba toba na kumsihi Mungu amletee aliye sahihi kwake!
 
Mkuu sijamaanisha kwamba ni mpaka lazima ulale naye,lakini kwa mtu ambae unategemea kumuoa,hiyo ni lifetime commitment,lazima ujiridhishe vya kutosha Mkuu kabla hujaingia kwenye ndoa!
Tuko pamoja mzee!
Ila vijana tunakoseaga kitu kimoja, mara nyingi tunafikiri akili zetu zinawza kufanya kila kitu. Ukimtanguliza mungu , nakwambia utaona kabisa njia nyeupe. Tukamkabidhi haya majambo, hakika hatutopotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakat mwengine Mungu akutaka kukupa hakuandikii barua, kua huo ajae ndio niliekupangia naye matendo yataongea zaidi
Sasa hayo ni maneno ya kwenye khanga!
Tamaa ni mbaya, bado namshauri atafakari upya, atubu na amuombe Mungu amuongoze kwenye maamuzi atakayochukua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom