Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 522
Huyo boyfriend wako ameshapiga mzigo au bado?? Naomba jibu ndo nianze kushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu tu chukua muda kusema. But don't ever try to put him off. Kiufupi waombe wazee wako wamwambie atajibiwa kuhusu posa awape muda halafu mtamjulisha
Bado. And to be honest Ugomvi mkubwa uko hapo.Huyo boyfriend wako ameshapiga mzigo au bado?? Naomba jibu ndo nianze kushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam! Do not ever make a mistake on this.
I know I know hata mimi sometimes nlikuwa ibilisi ananipitia eti nimuache coz hataki kunipa game. Ila kwa kuwa nlimpenda sikumuacha na sasa ni mke wangu and we are approaching our fourth year
Huu moyo hebu tuuachie kazi ya kusukuma damu wajameniMimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hongereni sana Maashaallah!! Nipate ka Experience kutoka kwenu, mlichukua muda gani kwenye mahusiano kabla ya kupeleka posa kwao?I know I know hata mimi sometimes nlikuwa ibilisi ananipitia eti nimuache coz hataki kunipa game. Ila kwa kuwa nlimpenda sikumuacha na sasa ni mke wangu and we are approaching our fourth year
move on olewa na anayetaka kuolewa huyo mwingine kama utaona anafaa anaweza kuwa mchepuko wako huko baadae.Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,
Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.
NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.
Sent using Jamii Forums mobile app
7 years. I knew her when we were in form 5 in the year 2008, I approached her in October 2010 when we were first year. Tulichaguliwa mkoa mmoja ila vue tofauti. I married her in February 2015Hongereni sana Maashaallah!! Nipate ka Experience kutoka kwenu, mlichukua muda gani kwenye mahusiano kabla ya kupeleka posa kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo anataka kula mzigo kwanza, na sio kuzaa kama ulivyotuficha??
Kwahiyo anataka kula mzigo kwanza, na sio kuzaa kama ulivyotuficha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninekunja ndata, [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Pm pako wazi? Natafuta mchumba mimi. Niko serious(kwa kiswahili sijui inatamkwaje)
Kupenda ni kimbelembele tuu.Huu moyo hebu tuuachie kazi ya kusukuma damu wajameni
7 years. I knew her when we were in form 5 in the year 2008, I approached her in October 2010 when we were first year. Tulichaguliwa mkoa mmoja ila vue tofauti. I married her in February 2015
Hahaha sasa sikia nikwambie kitu kimoja. Sisi wanaume huwa hatuwezi kuwa na amani na mwanamke ambaye hugongi. Kwahiyo jamaa anagonga zake nje huko, na kwakuwa wewe umeshambania kwa muda mrefu, siku ukiamua kumpa jua kuwa hicho ni kisasi, na HATAKUOA. Kwahy ndugu yangu kama nia yako ni kupata nusra iliyo njema, achana na jamaa olewa. Ukitaka kujipoteza malengo, mpe jamaa mzigo ukiamini anakupenda. Huu ni katika ushauri ambao utaukumbuka sana ukifanya kinyume. Allah akuongoze.
Nahisi mimi ndio nlimvumilia.Relationship for 7yrs? So that's to say mie subira sina!! Sorry,but Natamani kujua nini sababu ya kukuvumilia muda wote huo, ulimwaminisha vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana. Na wakati mwingine natoa demo kwa vitendo. Uje nikuombeeKupenda ni kimbelembele tuu.
Hivi kanisani kwako si huwa unaombea haya mambo?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Umempa ushauri muruaHahaha sasa sikia nikwambie kitu kimoja. Sisi wanaume huwa hatuwezi kuwa na amani na mwanamke ambaye hugongi. Kwahiyo jamaa anagonga zake nje huko, na kwakuwa wewe umeshambania kwa muda mrefu, siku ukiamua kumpa jua kuwa hicho ni kisasi, na HATAKUOA. Kwahy ndugu yangu kama nia yako ni kupata nusra iliyo njema, achana na jamaa olewa. Ukitaka kujipoteza malengo, mpe jamaa mzigo ukiamini anakupenda. Huu ni katika ushauri ambao utaukumbuka sana ukifanya kinyume. Allah akuongoze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana, kwa sababu jamaa anapewa mzigoRelationship for 7yrs? So that's to say mie subira sina!! Sorry,but Natamani kujua nini sababu ya kukuvumilia muda wote huo, ulimwaminisha vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app