I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Hahaha sasa sikia nikwambie kitu kimoja. Sisi wanaume huwa hatuwezi kuwa na amani na mwanamke ambaye hugongi. Kwahiyo jamaa anagonga zake nje huko, na kwakuwa wewe umeshambania kwa muda mrefu, siku ukiamua kumpa jua kuwa hicho ni kisasi, na HATAKUOA. Kwahy ndugu yangu kama nia yako ni kupata nusra iliyo njema, achana na jamaa olewa. Ukitaka kujipoteza malengo, mpe jamaa mzigo ukiamini anakupenda. Huu ni katika ushauri ambao utaukumbuka sana ukifanya kinyume. Allah akuongoze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu.. Allah kakupa akili ..sasa utumia busara ipasavyo "Ajae kwa nia ya kuoa" utamuelewa ... na "ajae kwa kukuchezea na kupooza hamu zake " utamuelewa !!
FYI, wwwwwwwwwanaume wengi ni maOportunisti!!
Nakutakia hadhi njema na vizazi vyema.
 
Sana. Na wakati mwingine natoa demo kwa vitendo. Uje nikuombee
Si unajua nilishasema mimi naombewa ofisini.
Naomba direction. Hiyo demo ndiyo yenyewe

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
OLEWA ACHA UJINGA NA HUYO PLAY BOY....ANAO WENGI ANAKUPOTEZEA MUDA TU HUYOOOOOO.....
FASTER FANYA YA MSINGI
1. Mpime wote mko salama ?
2.Wazazi wake na historia yake kwa undani uijue ...
3.Miiko kiukoo kwenu na maonyo na malezi ama wazazi wako hupendelea uolewe na wa aina gani, dini,elimu,tabia nk
 
1. Msimamo ninao ndomana nimechukua maamuzi magumu sijauendekeza moyo. Kuzaa asingenilazimisha lakini nimeangalia muda, I'm 23yrs now, baada ya miaka 2 ya kuendelea kuvumilia + mkazo wangu wa kutokubali zinah ntakuwa na 25yrs, nikifika hapo nitakuwa sina choice tena nitafanya lolote atakalotaka.
2. Sababu ya kuharakisha ndoa ni hofu ya Mungu nilonayo naogopa kuikaribia Zinah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mipaqka gani na hyu boyfriend wako wa sasa. Yaani hamfanyi zinaa?
 
Wee mbona hueleweki na hii stori yako?

Sasa ulificha kwa faida ya nani na umekuja kuomba ushauri humu!

Guess what hata stori yako ya kutunga hii smh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hey Sis, usiconclude kitu kama hujaelewa, hakuna nilichoficha hapo. Ukirudia kusoma reply yangu nimeonesha kialama cha mshangao, nimeshangaa kuambiwa nimeficha. Na sina sababu ya kufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umsubiri afanye nini? What's the plan?
We kama umemuelewa muoaji olewa tu. Mtu akiwa serious na wewe lazima awe muoga kukupoteza. Njia ya kujilinda ni ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom