I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

subiri, wewe bado ni msichana mdogo,

hakuna kitu kinachomput off mwanaume kama kumuonyesha unataka ndoa ama uko desperate na ndoa…

Ndoa ni fumbo kubwa, hao wanaotaka kukuposa unaweza ukute wanafanya hivyo sio kwa mapenzi kwako ila kwa sababu wameshaona 'udhaifu' wako ni ndoa….

...Sali utambue mume sahihi ,ikibidi shirikisha Rafiki zako,ndugu zako etc
ukipuuza huu ushauri..usijetuletea kilio mbelen..ndoa haziparamiw dogo
 
Hivi jamani hao wanaume wanokuja mpaka nyumani kutoa posa wanapitiaga mitaa maalum tu na mikoa au tz nzima na viunga na mitaa yake na nyumba zote kwa wanawake wote?
Mi mbona sina hiyo bahati jamanii[emoji23]

Maskini mwajuma nazeeka mimi

Sawa[emoji47]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa leo sina mda wa kuandika kwa urefu. ila nina ushahidi wa wa wanaume ambao walikua na wanawake wa kupitishwa muda tu wala hawakua na future nao, ingawa walijidai wanawapenda kweli. ushauri wangu dada kama hataki kujakuposa ni bora uka muweka pembeni
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.



Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa, achana na huyo anayekuzini tu kila kukicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom