Illuminati and Freemasons

Hakuna kitakachovuja tutajua walivyotuandikia wenyewe kwenye Google tu! Wakijua siri zao zinatolewa huku huu uzi utafutwa ghafla! Ndio ujue wanatawala kila kitu Duniani! Kumbuka kuelezea kwenye freemasons Degree ya 33 order
 
Nikajua unaleta full nondo kumbe unaruka ruka tu mara freemason mara umeacha umekamata Illuminati huko nako umewaacha hadhira na maswal umedakia skulls and bones angalia wanafunz wasifeli maana Freemason yenyew ni syllabus hujamaliza hata sub topic umeipiga chini tayar haya bwana nilitarajia umzungumzie Adam Weshapt na positivity take ndan ya Illuminati mpaka degree ya 33 halaf utulete hapa kwetu utunyambulie Illuminati nchin kwetu ili watu tuifahamu vyema matokeo yake umefanya kama alivyotanguliza mkuu mwenzang hapo juu kukuallert kuwa uje na full info kuhusu hii mambo usiweke propaganda za dini na story za vijiwe humu.
M
 
Mkuu unaweza kuendeleza !!
 
Mh kwa hyo mchawi...sangoma...wote ni Freemason?
Hyo Freemason watakuwa wamekosa soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…