Illuminati and Freemasons

Future Lawyer unawaokota sana wazembe wa kuutafuta ukweli. Hakuna sehemu yeyote Freemasons ikawa tawi la Illuminati, bali wanachama wengi wa mwanzo wa Illuminati walikuwa wanachama wa Freemasons. Historia hii iko wazi kabisa kwenye Wikipedia.
sio kila kitu watakuwekea mtandaoni vingine wanaficha kama walivyofanya kwenye Bible , jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skull and bones ni fraternity na fraternity zipo nyingi na kila College na University ndani ya Marekani wanakuwa nazo ni kama traditional kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freemasons haiabudu shetani na ni member club kama zilivyo YMCA na zinginezo ila wenyewe wameamua kuiweka kwa namna yao ambayo wamependa wao iwe ( katiba na misingi ). Freemasons wote wapo kwenye dini zao wanazoabudu na sheria moja wapo ya kuwa member ni uwe una dini unaabudu, wana amini kama una abudu na kuamini basi ni mtu mwenye imani na kuweza kuelewa mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freemason god is devil one of their mission ni ku_ confuse watu , wamejificha chini ya mwamvuli wa dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Illuminat society ni jamii ya watu wenye akili (majiniazi) kama galileo,leonardo davinci,michelangelo n.k. Hii jamii ilipingwa na kanisa kutokana na kwamba kanisa ndo lilikuwa linaongoza raia na kila linalosema watu wanasikiliza bila kufikiria,kwa mfano jua linaizunguka dunia na illuminat mmoja akasema no dunia ndo inaizunguka jua na ushahidi akatoa. Utawala ule ukampoteza,wakaanza kuwindwa na ikumbukwe kuwa kuna wafanya biashara waliokuwa wanawasaidia kwenye projekti zao nao pia wakawa wanawindwa na utawala. Sasa illuminat wakawa wanatumia codes ili waweze kuwasiliana na hao wafanyabiashara ambao walikimbilia mapangoni ili kujificha na huko mapangoni waliwakuta mafundi ujenzi wakawa wanawauzia biashara zao na kuwasaidia wanapokuwa na shida ndo wakaona fursa wakawa wanasaidia projekti zao vile vile ndo wakajiita freemasons na illuminat waliendelea na ishu zao kwa siri,ila palitokea kundi la kihalifu lilokuwa linaua viongozi wa kanisa na kisha wanaacha alama za illuminat na freemasons walizokuwa wanatumia katika kuwasiliana kwa hiyo wakawa wanajulika kama wanalipiza visasi kumbe hamna......endelea na stori mkuu hii ni chai kwa mluzi
 
Hapa sasa naanza kupata maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fremason wapo kweli ni watu waliofanikiwa kuufungua ulimwengu wa Tatu ule wenye miujiza sasa wao wanafanya kwa viwango haswa a mini usiaminii ukieza kuufungua uo ulimwengu wa Roho unaeza kua unachotaka kikubwa ni Imani yako tu Na Kuna key mbali mbali to za kufungulia huo mlango wengine wanaamini kupitia Jina la Yesu wengine manabii wengine wachungaji wengine ndo hao free mason wengine waganga yote kwa yote is All about kuamini
 
Wakuu hivi kuna Uhusiano gani kati ya church of satan na freemason?

Natanguliza shukran
 

Mkuu, siku wakiitwa watu ambao Ni OPEN MINDED uwe miongoni mwao. Nimependa argument zako mkuu. Sasa ifike wakati watu tufanye reasoning tukiwa open minded na sio kulalia upande mmoja (Dini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…