Akinunua madege makubwa,wanahoji eti hapa bongo yatatua uwanja gani?Ingekuwa hivyo mngesema ingepaswa kuwa vile halafu mngesema hamuhitaji vitu mnataka mpewe hela, basi tu ili mradi mtetee uvivu na ugoigoi.
Piga kazi Magu!
Kwa huku akili tunaziacha katika papuchiDuniani huko...watu wenye matumizi mazuri ya akili...
Ukabila unaanzia huko. Karibu na KENYA. Mnapenda mtu eti kwa sababu ni wakwenu. Ndio maana wanaqachukia wachagga.Wanaomchukia ni Wachaga low class kama wewe, lkn Wachaga upper class wengi wao ni pro-Magu!
Ungeonyesha na ilivyo sasa hivi sio wote tupo Dsm kakaHaijulikani nini kikitokea
Ile sio flyover ni daraja tu kama la Manzese
Hivi bado mnafikiri ile fly over ni kwa ajili yako...
Ile imewekwa strategically kurahisisha usafiri kutoka airpot kwenda city center...wala si kwa ajili yenu wanyonge...
Ningewapigia kura CCM kama wangefanya hivi.Lakini haijulikani nini kilitokeaView attachment 1173736
Wanaomchukia ni Wachaga low class kama wewe, lkn Wachaga upper class wengi wao ni pro-Magu!
Ingekuwa hivyo mngesema ingepaswa kuwa vile halafu mngesema hamuhitaji vitu mnataka mpewe hela, basi tu ili mradi mtetee uvivu na ugoigoi.
Piga kazi Magu!
Pale tazara panasikitisha, kafly over kakishamba sana
Anapiga kazi ya kulazimisha kupendwa.
Lakini wapi! Anachukiwa balaa!