Ilipaswa kuwa hivi

Ilipaswa kuwa hivi

Hivi bado mnafikiri ile fly over ni kwa ajili yako...

Ile imewekwa strategically kurahisisha usafiri kutoka airpot kwenda city center...wala si kwa ajili yenu wanyonge...


Unajua daladala ngapi zinapita pale per day? Au ww mgeni njia ile? Kwa hiyo tunaopita na daladala toka gongolamboto ., chanika ,kitunda n.k ni maboss?
 
Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi...
TOO LOW! Yaani hadi 2019 kuelekea 2020 bado kuna watu wanaoamini critics wa Magu "Wapiga Deal"?! Kuna mpiga deal nchi hii kama Rostam ambae hivi sasa anakunywa chai na Magu!!
 
Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi...
Mzee baba anachukiwa balaa.
Mpaka anajipendekeza kwa majeruhi wa ajali ya moto eti watibiwe kwa gharama zake!!!

Mimi ni mbeba zege (kuna magumashi gani kwenye kubeba zege?)
 
Back
Top Bottom