Ilipaswa kuwa hivi

Ilipaswa kuwa hivi

Hyo ndo ingependeza kinyama
Sema baadae wakabadirisha koz ya complexity pamoja na ufanisi
Wanasema hyo ingeleta folen apo katikati wakati ya sahv ni simple na inajengwa fasta
Kingine walichosema ni eneo, ni ngum kuijenga hyo wakati eneo lile ni dogo
 
flyover unatembezwa huku umekalia kiti cha gari mpaka unasahau kama upo juu ya daraja mkuu ngoma unatoka hapo kwa bakhresa tazara mpaka tabata huko sijui wapi sio unatembeza gari dakika tatu umeshatoka mimi nauhakika hata mkuu haiti flyover sema tuu ni sisi wananchi uelewa wetu
 
Inaonesha uko jikoni
Hakuna changa hapo ni mabadiliko tuu ilionekana wangefanya iwe kama hivo lingekula space kubwa yaani kuanzia shell hadi kule songas mwanzo zile nyumba ziondoshwe zote
 
Acha uongo pita uangalie jinsi nguzo zilivyosimikwa ubungo
Haaa haaa
Screenshot_20190808-095602.jpeg
 
Back
Top Bottom