Ilipaswa kuwa hivi

Ilipaswa kuwa hivi

Kabisa mkuu na hiyo hela ishapata kazi ya kutengeneza barabara ya mwendo kasi river side darajani hadi gongo la mboto na mpaka sasa washapima ndo wako mwisho mwisho kandarasi kusainishwa kazi ianze
Ingekuwa hivyo mngesema ingepaswa kuwa vile halafu mngesema hamuhitaji vitu mnataka mpewe hela, basi tu ili mradi mtetee uvivu na ugoigoi.

Piga kazi Magu!
 
Duuh...! Hii tamu saaaana mkuu. Kwa hiyo wametupiga changa la macho?
Hakuna changa hapo ni mabadiliko tuu ilionekana wangefanya iwe kama hivo lingekula space kubwa yaani kuanzia shell hadi kule songas mwanzo zile nyumba ziondoshwe zote
 
ndio maana kaamua kujenga Chattle yake

wabongo hamna shukrani,badala ya kupongeza mnapondea pondea tu..

Sasa kaamua kila kitu anajenga kwao...ili mvimbe na mpasuke vizuri

*tupia picha ya flyover yetu
 
Mbona kama inaelekea kuwa hivo. Heb ipe miez sita kutoka sasa uone kama haitaelekea uko. Haiwezi kuwa exactly but inaelekea kufanana hivo.
 
Back
Top Bottom