Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Hakafu inshu ya kupata Likes kwenye post sio kama ndio umeandika point hasa no sio kweli maana kuna post kibao za madudu ambazo zina Likes nyingi kuliko hii kwa munajili hiyo Likes hazi detemine ubora wa uzi wako
Mkuu ukitaka kupata like kwa chochote unachopost hata kama ni utumbo kuna thread maalum vijana walianzisha ya kupeana like,usidhani like watu wanaojitambua huzitoa toa tu.Siwezi kulike kama sikubaliani na ulichoandika,mpaka mtu alike ni zaidi ya kukubaliana na ulichoandika.@Mshana Jr siandiki kwa kumsifia lakini yuko level nyingine anatumia mbinu gani anajua yeye mwenyewe.
 
mshana umemifunza mambo mengi. umeheshimu sana taaluma na utu wangu .
nakuheshimu mshana.mungu akuongezee baraka.wewe ni mwalimu wangu kama karugendo, ulimwengu nk
 
Naamini sio majibizano mabaya kwakuwa kanuni yangu ni moja huwa sijibizani na wapuuzi kwakuwa wapuuzi hawajibiwi, wapuuzi huachwa na upuuzi wao... Hakuna dharau mbaya kama mtu kuku ignore totally
I have got you brother from the last two lines ngoja nilale tena for the second time labda naota tu Aggy its true but the way it happened it confuse me ......why too suddenly? With no a long suffering!!!
 
Mkuu ukitaka kupata like kwa chochote unachopost hata kama ni utumbo kuna thread maalum vijana walianzisha ya kupeana like,usidhani like watu wanaojitambua huzitoa toa tu.Siwezi kulike kama sikubaliani na ulichoandika,mpaka mtu alike ni zaidi ya kukubaliana na ulichoandika.@Mshana Jr siandiki kwa kumsifia lakini yuko level nyingine anatumia mbinu gani anajua yeye mwenyewe.
Ukisoma post yangu vizuri pamoja na comment zangu zingine nimekili kabisa kuwa namkubari sana Mshana Jr kwenye post zake nyingi alizozianzisha lakin kwenye hii nimeamua kupingana naye sio kwa kuwa namkubali basi kila atakacho sema na mimi nikubali no brother lazima nitumie kichwa changu vizuri mkuu katika kudadavua mada
 
mshana umemifunza mambo mengi. umeheshimu sana taaluma na utu wangu .
nakuheshimu mshana.mungu akuongezee baraka.wewe ni mwalimu wangu kama karugendo, ulimwengu nk
Am humbled..! Asante sana
 
Ukisoma post yangu vizuri pamoja na comment zangu zingine nimekili kabisa kuwa namkubari sana Mshana Jr kwenye post zake nyingi alizozianzisha lakin kwenye hii nimeamua kupingana naye sio kwa kuwa namkubali basi kila atakacho sema na mimi nikubali no brother lazima nitumie kichwa changu vizuri mkuu katika kudadavua mada
Love distort judgement
 
Hakafu inshu ya kupata Likes kwenye post sio kama ndio umeandika point hasa no sio kweli maana kuna post kibao za madudu ambazo zina Likes nyingi kuliko hii kwa munajili hiyo Likes hazi detemine ubora wa uzi wako
Samahani hapa naomba nifafanue kitu.. LIKES za bure zinapatikana kwenye mada moja tu ya kupeana likes hata kama umepost nukta... Ni mada yenye ubunifu uliotukuka na ni mojawapo ya mada heavy weight hapa jamvini ikishindana na ile ya makapuku... Nje ya hizi mada mbili zilizobaki zote Ukipata likes kumi ni likes za haki
 
hahahahahha mkuu hujalala tu kumbe bado uko macho nakukubali sana mkuu lakini kwenye hili naomba nitowe shillingi boss
 
Niko duty mochwari siwezi kulala... Hakuna shida kwakuwa tunalumbana kwa hoja
 
Mkuu usiwe mbishi umechemka tena hata usingetaja dini yako,wewe kama unaoa kwa kuangalia uzuri wa sura pekee unashida.Niltegemea utuambie umempenda kwa sababu anaswali sala tano,anajitunza kwa kuvaa hijabu.Wewe umewaibisha waislam na tunawasiwasi kama ni muislam kweli au ni muislam jina au ni mpenzi wa yule jamaa "neema za Allah?"
Huweza ukaja kwenye public kuweka wazi mambo yako ya uchumba kwa huyo marehemu au unadhani hujulikani wewe ni nani?@Mshana Jr yuko sahihi sema level zake za kuelezea ziko juu umeshindwa kumwelewa,watu wamemwelewa that is why post yake ina like 100+ wewe mpaka naandika huna hata like moja kwenye kitabu chako,jifunze kwa wengine mkuu.Mimi nakushauri umpokee Yesu ,mke mwema anatoka kwa Bwana huku hatuangalii uzuri peke yake ndoa ni zaidi ya uzuri wa sura ya mwanamke.
Fala Kweli wewe unamshauri mwenzako kwanini ametaja dini yake na wewe unataja uharo wako eti ampokee yesu shame on you miaka elfu mbili na ushee hajarudi atampokea lini
 
Samahani hapa naomba nifafanue kitu.. LIKES za bure zinapatikana kwenye mada moja tu ya kupeana likes hata kama umepost nukta... Ni mada yenye ubunifu uliotukuka na ni mojawapo ya mada heavy weight hapa jamvini ikishindana na ile ya makapuku... Nje ya hizi mada mbili zilizobaki zote Ukipata likes kumi ni likes za haki
Huu ni mtazamo wake tu Sio lazma uwe Sawa na mtoa Mada Chefe mshana pia Sio TIKET yake ya kushambuliwa bye the way boa noite chefe
 
Fala Kweli wewe unamshauri mwenzako kwanini ametaja dini yake na wewe unataja uharo wako eti ampokee yesu shame on you miaka elfu mbili na ushee hajarudi atampokea lini
mkuu umeufanya usiku wangu uwe mwororo kabisa aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom