chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979
Kwani siku hizi zipo za aina ngapi? Kuna ya tatu imeongezeka au kuna moja imepungua?Shule za Sekondari zilikuwa za aina mbili tu, za SERIKALI na za KULIPIA. Na walionda hizo za KULIPIA tuliwaona......!
Na kama walikuwa na bendi ya taarabu vile, Bima modern taarabSikuzile Bima Lee ilikuwa ikimilikiwa na Shirika La Bima La Taifa ( National Insurance Corporation, NIC), bendi hii ilitikisa vilivyo enzi zake, ilikuwa inakusanya nguli wengi wenye uwezo wa hali ya juu na waliochangia mafanikio makubwa katika bendi hiyo.
Miongoni mwa nguli hao, kulikuwa na waimbaji kama vile, Shaaban Dede ‘Super Motisha’, Othman Momba ‘Sauti ya Chuma’, Jerry Nashon ‘Dudumizi’ na Roy Bashekanako, na wenigine wengi.
Kwa upande wa ala, Bima lee ilikuwa imekusanya ‘mafundi’ kemkemu, kama akina Joseph Mulenga ’Spoiler’, Abdallah Gama, Suleiman Mwanyiro ‘Computer’, Hamis Mnyupe, Shaaban Lendi pamoja na Ally Rashid.
hahahahWote niliowakuta huku nisiwakute kwenye timu ya Ali kiba na diamond
Sina kumbukumbu kwa hili, ebu tusubiri wajua maneno wakujeNa kama walikuwa na bendi ya taarabu vile, Bima modern taarabu
Adamu Bakari- Sauti ya Zege, Suleiman Mwanyiro- Bass, ilikuwa Baraa Bima Lee TingishaGery Nashoni
Hapana Bima Lee haikuwa na Band ya Taarabu, ila kulikuwa na timu ya NetiballSina kumbukumbu kwa hili, ebu tusubiri wajua maneno wakuje
Miezi miwili mbele nilizaliwaWengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Ahaa! Wewe ndiyo ulikuwa unanipiga makwenzi nikinyoa kipara eh? Halafu nikivaa safari buti zangu unanifanyia Wow wow kama mbwa! Nimeshakujua!! Sasa hivi mi msoja,njoo tena!
Hapana Bima Lee haikuwa na Band ya Taarabu, ila kulikuwa na timu ya Netiball
We! Hebu tupia shikamoo hapa. Miaka hiyo wengine ni viranja primary schoolWengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Kumbe lodge za kigogo zilianza mda mrefu eee. Ndo maana roma ,Baghdad, na snura wameimba KView attachment 452280Miaka ileeee!!
WAPI WAPIS BAR chang'ombe hahahahaa waqt uleeeeeNimetaka kuonyesha hilo tangazo la bendi ya muziki lilikuwa gazetini mwaka 1981
Soma tarehe kwenye hiyo picha Mkuu.
Hebu nikumbushe mwimbaji mmojawapo wa hiyo taarabu.Sio kweli. Bima Modern Taarab ilikuwapo
Hebu nikumbushe mwimbaji mmojawapo wa hiyo taarabu.
Ni kweli nakumbuka huo wimbo aliimba Mariam NailonSikuwa mshabiki sana wa taarab ila nakumbuka wimbo wao "ni bure zenu fitina" nn uko kule youtube. Jaribu kwenda kufanya search labda utaamini.