Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Kuna wimbo wa..Baada ya huo ulikuwa "njiwa peleka salamu" JKT taarabu.
huo siukumbuki ninakumbuka tu mchana kipindi cha peleka salamu RTD, kipindi cha mama na mwana.Kuna wimbo wa..
Kifo cha mma naliaa, kimetia uchunguu.. mama enheeee mama enheeee, kilio umechiaaa... nilikuwa napiga marimba na wakati mwingine kinanda kwenye kikundi cha sanaa cha shule
Eeeh ShikamooNilikuwa primary lakini darasa la mbele yako kidogo.
marahaba mkuu.Eeeh Shikamoo
Philips, ndiyo yenyeweee.. sauti safi sauti kubwaaa.... philipsHapo sasa nilikuwa Phlips EA tunatengeneza radio kwa ajili ya vita ya Uganda inaishia na ukombozi.
Nakumbuka Jamhuri Jazz na nyimbo za Pamela Atomic Jazz na Tanzania yetu Zahir Ali na Joka Iddi Amin Western Jazz na Jela ya Mapenzi. Dar Jazz Moro jazz etc etc wacha tu
Tulitangaziwa miezi 18 ya kufunga mkanda na Mwl Nyerere Ingawa hadi leo bado tunafunga mikanda.
SI UCHOCHEZI NI KWELI
Kajukuu katakorithi kipaji changu mtaomba wazazi wake waniachie nimlee ili nikinoe vizuri kipaji chake...Mabinti hawatokusumbua Sana mjukuu ni lazima arithi tu
Kipindi cha mama na mwana kilikua kikiendeshwa na Mama Sara Dumba.huo siukumbuki ninakumbuka tu mchana kipindi cha peleka salamu RTD, kipindi cha mama na mwana.
Hahahahahah huhitaji kunoa huwa ni mara mbili ya muhusika pale atapokwambia "sio hivyo babu"Kajukuu katakorithi kipaji changu mtaomba wazazi wake waniachie nimlee ili nikinoe vizuri kipaji chake...
Mi sipendagi ujinga wa kupoteza vipaji maalum na adimu LOL
Ili radio iongee hadi ipigwe kibao ndio itaongea yaani ikinyamaza tu inapigwaNaikumbuka sana RTD
Dah! enzi za kuunganisha betri ili uweze kusikiliza redio, nakumbuka zaidi 'club raha leo show' mtu akitambulishwa anapiga chombo chake kidogo au anaimba kidogo basi anashangiliwa na umati
Hahahaaa! Zile radio nyuma zina kama "plywood" laini na ina matundu tundu halafu imeandikwa Dudu proofIli radio iongee hadi ipigwe kibao ndio itaongea yaani ikinyamaza tu inapigwa
Sisi tulikuwa tunakwenda gogo disco Africana sasa ikawa tukiingia hatutoki hata tuitwe vipi hatutoki wakaona isiwe shida siku hiyo tumejiandaa hatuitwi ikabidi tukawastue tulipewa jibu moja.... nendeni msasani kwa miguu M bembelezwe Nyie kina nani?Toto disco Msasani Club, bila Madonna Holiday hatujatendewa haki.
Umenikumbusha hizo mama alikuwa nazo mbili kusafiri kaka akahonga moja afanye nini na hela hana mwenyewe karudi haipo alipoulizwa akaona isiwe shida akaenda kumnunulia birika la chai bi mkubwa acha aangue kilio kila akiliona lile birika utasikia wallahi matumbo hayaHahahaaa! Zile radio nyuma zina kama "plywood" laini na ina matundu tundu halafu imeandikwa Dudu proof
Hahahaaa!! Wakati mwingine ukisalimiwa "Mambo?" Unajibu "Mambo byee" ukitaka kumpiga mtu mikwala unamwambia "Utapotea maboya wewe" au "utabana ngenge"Shati la shule lilikuwa linafuliwa na blue, kulikuwa na salamu "mambo" unajibu "mambo degree".
Ukikosa "Bluu" unatumia dawa flani ya vidonda ina rangi ya bluu inaitwa Jivii ππNa umeliweka kwenye wanga... mgongoni kuna malinda ya mraba, na mabegani pia....
Kuna wakati BLUEE ILIKUWA INAHUSIKA
Dah....ndiyo timu gani hizo?? Wengine hata mpira huwa hatushabikii kabisaπππππWote niliowakuta huku nisiwakute kwenye timu ya Ali kiba na diamond
Zinashiriki Ligi gani hizo team?ππππDah....ndiyo timu gani hizo?? Wengine hata mpira huwa hatushabikii kabisaπππππ