Ilikuwa kazi ya kutoa jasho.

Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''

hahahahaha dah...
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni nzuri mkuu nimezipenda. Hiyo ya kijana mvuta bangi inafanana na hii ya kijana mmoja wa kiarabu pale ilala alialikwa kwa mara ya kwanza kijiweni. Siku hiyo mzigo (bangi) ulitoka Tabora, si unajua bangi ya Tabora ni kiboko. Kijana akavuta akanogewa kisha akataka kujinyonga kwenye mpapai, kila akitundika kamba kwenye tawi la mpapai linakatika. Washikaji wakaanza kulaumiana nani amemwita huyo. Mara kila mmoja akaondoka mahali hapo. 
 
hahahahhahahaha mkuu hii kali mno
 
Jamaa wa nyeto ni balaa
duh ile aibu sijui utakimbilia wapi
Na nyumba unahama kabisa
 
Back
Top Bottom