Ilikuwa kazi ya kutoa jasho.

Ilikuwa kazi ya kutoa jasho.

Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''
kinachofuata hapa ni mtu kupigwa bisibisi ya jicho..lol
 
Bangi bhnana,Kuna mshikaji alikaa kwenye jiwe kakunja 4 huku akipga mapfu ya kufa mtu ile kamaliza...,anataka kuinuka akajikuta anamguu mmoja,si akaanza kulia "mguu wangu mguu wangu" akaulizwa umefanya nn...? Jamana siuoni uko wapi, washikaji wenzake walimfuata na kumtoa 4 aliyoikunja.""
Hahaaaah.! kumbe jamaa aliinuka na mguu 1 huku mwingine kaendelea kuukunja,
Mkuu kitakuwa kitu cha wapi?...
 
Hakyanani hii ndiyo raha ya Jf.kwa muda nimesahau shida zangu!
 
Namwinamisha hataki,namgeuza hivi anabisha,nikimleta hivi ndo balaa,nikamlazimisha ainamishe kichwa anapiga kilele,nikamwambia anigeukie akakubali ile tu naweka analia......duh kweli kumnyoa nywele mtoto mchanga ni kazi.
Haaa,haaaa,style uliyoanzie mie hoi kwa kicheko!
 
Si unajua bafu zetu za uswahilini, jamaa alikuwa anaoga bafuni, siakaanza kupiga masta bwana!,,,, utamu ukakolea, sasa sabuni ikaingia machoni siikabidi aokoe jicho huku akiendelea na kazi, akakosa balance na kuanza kutafuta ukuta ashike!!! kumbe khanga aliyoiweka kwenye mlango wa choo ilishapeperushwa na upepo bila yeye kujua,alipomaliza nyeto ile anashusha pumnzi anajikuta yuko nje ya bafu na wamama wanaosuka wamefumba macho kwa aibu.
Haaaa kwiiiiiiii,wajamen mbavu zangu,yani hapo lzm jamaa alitoka nduki kali sijui kuelekea wapi?
 
Bangi bhnana,Kuna mshikaji alikaa kwenye jiwe kakunja 4 huku akipga mapfu ya kufa mtu ile kamaliza...,anataka kuinuka akajikuta anamguu mmoja,si akaanza kulia "mguu wangu mguu wangu" akaulizwa umefanya nn...? Jamana siuoni uko wapi, washikaji wenzake walimfuata na kumtoa 4 aliyoikunja.""
Hahaaaah.! kumbe jamaa aliinuka na mguu 1 huku mwingine kaendelea kuukunja,
Haki yani najisikia raha kuwa jf,yani muda wote full kucheka na kurudisha aman moyon,mweeeee!raha sana!asante mkuu.
 
Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''

hii nimeipenda
 
Pole sana hayo yote ni ya dunia Mrudie Mungu wako atakuponya nakukuepusha na mitego ya Shetani .
 
bangi bhnana,kuna mshikaji alikaa kwenye jiwe kakunja 4 huku akipga mapfu ya kufa mtu ile kamaliza...,anataka kuinuka akajikuta anamguu mmoja,si akaanza kulia "mguu wangu mguu wangu" akaulizwa umefanya nn...? Jamana siuoni uko wapi, washikaji wenzake walimfuata na kumtoa 4 aliyoikunja.""
hahaaaah.! Kumbe jamaa aliinuka na mguu 1 huku mwingine kaendelea kuukunja,

qwi qwi qwi qwiiii
 
kuna mtu malaria imepanda kichwani hapa si bure wakuu!
 
Back
Top Bottom