Wapi ushahidi mkuu?Watu walikuwa tayari wanatahiri kwa maelfu ya miaka kote duniani kabla hata ya hizo story zenu za Ibrahim kuwepo.
Ina punguza maana kuna baadhi ya mishipa ina katwaKuongeza utamu!
Labda waliona hicho kinyama hakina umuhimu zaidi ya kuhifadhi uchafu na kuleta ka obstacle wakati wa sex🤣🤣🤣....jokingBinadamu wa kwanza kuanza kutahiri wanaume walifikiria nini hadi wakaanza kukata au kukatana magovi ya mboo zao ?
Kumbe!!!! Ngoja nirudi hospitali wakanirudishie vishipa utamu vyangu!Ina punguza maana kuna baadhi ya mishipa ina katwa
Kuna baadhi ya nchi zinazo jielewa kutahiri ni mpka mhusika afike 18yrs aamue mwenyeweKumbe!!!! Ngoja nirudi hospitali wakanirudishie vishipa utamu vyangu!
Govi linagundu sanaSisi wasukuma hatutahiri ni mwendo wa "guchunya" tu
Sasa mpk ulivuteWenye magovi wanapata shida kudinya ?
MhSayansi inasema govi halina shida na watu kuwa nayo ni sawa tu.
Ila kwa mujibu wa dini watu watolewe magovi hayo.