Ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate

Daima tunasema hapa msiende kwa mwanamke kula tunda. Leo naongeza na guest ya karibia na kwake
 
Chumba wanachoishi wanandoa au mwanamume na mwanamke mbon kinajulikana??
Unafeli wapiii!??
 
tulisema kama hulipi kodi usitie maguu hayo makazi
anyway burger ni tamu
 
Miaka kadhaa nyuma ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate ambaye aliniongopea kuwa hajaolewa.

Huyu binti nilisoma naye miaka minne pake Ardhi University. Tulipofika mwaka wa pili tukawa wapenzi japo kwa kuibia ibia sana.. Maana ilikuwa kukutana kimwili mara chache kwa kuwa wote wawili tulikuwa na wapenzi zetu. Ki ukweli tulikuwa tunaenjoy sana zile secret love affairs. Zile za kukutana cafeteria wakati wa chakula cha usiku, tukimaliza kula tunaenda kwenye vimbweta pale nyumba ya library ya zamani kama unaelekea Arch Plaza tunakula denda pale na kushikanashikana na wakati mwingine tunamalizana palepale.

Baada ya kumaliza chuo kila mmoja akatimkia upande wake na mawasiliano yakakatika kwa kuwa sasa kila mtu alikuwa bize na maisha yake.
Siku isiyo na jina nikiwa makumbusho nasubiri Daladala za Bagamoyo, namuona binti upande wa pili, nikamfuata na kumsalimia. Binti akafurahi na kunikaribisha kwake.

Jumapili iliyofuata mapema tu nikamcheki akanipa maelekezo, nikaanza safari.
Nilifika na alinipokea vizuri sana. Baada ya maswali mawili matatu, binti akaniambia kuwa yupo single maana yule jamaa yake walishaachana.
Tukala msosi na kisha nikakaribishwa bedroom, tukakumbushia enzi na kupumzika.

Saa mbili usiku nikiwa najiandaa kurudi, mlango unagongwa, binti akaenda kuchungulia kwa dirisha la jikoni ndipo aliporudi kwa wasiwasi na kuniambia kuwa jamaa yake amerudi, sikuwa hata na muda wa kufikiri nikashika kichwa huku nikiwaza namna ambavyo nilitumia kichwa cha chini kufanya maamuzi.
Binti akanivuta mpaka jikoni na kuniingiza chini ya meza. Niliingia na kuchuchumaa.

Kisha akarudi kumfungulia jamaa. Niliwasikia tu wanaongea huku jamaa akionekana hajajushtukia chochote.
Jamaa akaa kusikilliza taarifa ya habari ya ITV msomaji akiwa Abdallah Mwaipaya.

Baada ya muda akainuka kwenda chumbani.
Binti akaja akanitoa kule chini huku akinichekea wakati huo mimi nina hasira balaa.

Akanitoa nje nikafika barabarani na hatimaye nikafika nyumbani.

Ushauri: Wanawake ni wauaji wakubwa.
Duuh, imabidi tu nicheke
 
Ndiyo maana mimi huwa nasema kuwekeza kwenye mapenzi ni umasikini wa akili.Imagine jamaa utakuta limewekeza muda wake,akili zake,upendo wake,e.t.c kwa mke wake likifikiri kuwa limeoa!
Huyo manzi ana ujasiri wa ajabu aisee, yani unalala na mwanaume mwingine kwenyw kitanda unacholala na mumeo tena ndani kwenu, ila jamaa nae zoba ina maana hakuona hata kiashiria kimoja cha kuonyesha kwamba mle ndani kuna dyme linaishi, hata nguo au viatu au chochote tu jamani
 
Ukiona mwanamke analipiwa kodi juwa ana mtu na analala pale. Ila mm kitu sijawahi fanya ni kumlaza mwanaume ndani aiseee haijawahi tokea.
Atalala kwangu mwanaume ambae ntakuwa na malengo nae na tumeshatambulishana tofauti na hapo. Hotel zipo.

Hivi mm ndo nina aibu peke yangu ama? Majirani wanajua sijaolewa iweje waone mwanaume anatoka pale asubuhi?

Wanawake wenzangu mnawezaje? Ni mwaka wa 5 naishi mwenyewe hicho kitu kimenishinda.

Najitegemea ila bado namuheshimu mama yangu akijua nalaza wanaume ndani itakuwaje? Wakati akija mama tunalala kitanda hicho hicho? Kweli ni ngumu.

Btw pole kama nakuona chini ya meza😂😂😂
 
tulisema kama hulipi kodi usitie maguu hayo makazi
anyway burger ni tamu
Ukiona mwanamke analipiwa kodi juwa ana mtu na analala pale. Ila mm kitu sijawahi fanya ni kumlaza mwanaume ndani aiseee haijawahi tokea.
Atalala kwangu mwanaume ambae ntakuwa na malengo nae na tumeshatambulishana tofauti na hapo. Hotel zipo.

Hivi mm ndo nina aibu peke yangu ama? Majirani wanajua sijaolewa iweje waone mwanaume anatoka pale asubuhi?

Wanawake wenzangu mnawezaje? Ni mwaka wa 5 naishi mwenyewe hicho kitu kimenishinda.

Btw pole kama nakuona chini ya meza😂😂😂
😀😀😀mimi kwa mwanamke silali hata kama kuna garika
 
Miaka kadhaa nyuma ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate ambaye aliniongopea kuwa hajaolewa.

Huyu binti nilisoma naye miaka minne pake Ardhi University. Tulipofika mwaka wa pili tukawa wapenzi japo kwa kuibia ibia sana.. Maana ilikuwa kukutana kimwili mara chache kwa kuwa wote wawili tulikuwa na wapenzi zetu. Ki ukweli tulikuwa tunaenjoy sana zile secret love affairs. Zile za kukutana cafeteria wakati wa chakula cha usiku, tukimaliza kula tunaenda kwenye vimbweta pale nyumba ya library ya zamani kama unaelekea Arch Plaza tunakula denda pale na kushikanashikana na wakati mwingine tunamalizana palepale.

Baada ya kumaliza chuo kila mmoja akatimkia upande wake na mawasiliano yakakatika kwa kuwa sasa kila mtu alikuwa bize na maisha yake.
Siku isiyo na jina nikiwa makumbusho nasubiri Daladala za Bagamoyo, namuona binti upande wa pili, nikamfuata na kumsalimia. Binti akafurahi na kunikaribisha kwake.

Jumapili iliyofuata mapema tu nikamcheki akanipa maelekezo, nikaanza safari.
Nilifika na alinipokea vizuri sana. Baada ya maswali mawili matatu, binti akaniambia kuwa yupo single maana yule jamaa yake walishaachana.
Tukala msosi na kisha nikakaribishwa bedroom, tukakumbushia enzi na kupumzika.

Saa mbili usiku nikiwa najiandaa kurudi, mlango unagongwa, binti akaenda kuchungulia kwa dirisha la jikoni ndipo aliporudi kwa wasiwasi na kuniambia kuwa jamaa yake amerudi, sikuwa hata na muda wa kufikiri nikashika kichwa huku nikiwaza namna ambavyo nilitumia kichwa cha chini kufanya maamuzi.
Binti akanivuta mpaka jikoni na kuniingiza chini ya meza. Niliingia na kuchuchumaa.

Kisha akarudi kumfungulia jamaa. Niliwasikia tu wanaongea huku jamaa akionekana hajajushtukia chochote.
Jamaa akaa kusikilliza taarifa ya habari ya ITV msomaji akiwa Abdallah Mwaipaya.

Baada ya muda akainuka kwenda chumbani.
Binti akaja akanitoa kule chini huku akinichekea wakati huo mimi nina hasira balaa.

Akanitoa nje nikafika barabarani na hatimaye nikafika nyumbani.

Ushauri: Wanawake ni wauaji wakubwa.
Ungetatuliwa malinda haki ya nani.
 
Jamaa angekukamata,angekubaka hukohuko chini meza ulikojifichia
 
Wanawake huwajui we we
 
Ukiona mwanamke analipiwa kodi juwa ana mtu na analala pale. Ila mm kitu sijawahi fanya ni kumlaza mwanaume ndani aiseee haijawahi tokea.
Atalala kwangu mwanaume ambae ntakuwa na malengo nae na tumeshatambulishana tofauti na hapo. Hotel zipo.

Hivi mm ndo nina aibu peke yangu ama? Majirani wanajua sijaolewa iweje waone mwanaume anatoka pale asubuhi?

Wanawake wenzangu mnawezaje? Ni mwaka wa 5 naishi mwenyewe hicho kitu kimenishinda.

Najitegemea ila bado namuheshimu mama yangu akijua nalaza wanaume ndani itakuwaje? Wakati akija mama tunalala kitanda hicho hicho? Kweli ni ngumu.

Btw pole kama nakuona chini ya meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuwa na mpango wa kulala pale.
Nilihoji mara nyingi lakini alijibu kuwa hana mtu na anaishi mwenyewe
 
Hongera kwa kurudi na tunu ikiwa inamarinda yake
 
Mimi hata siku moja siendi kupiga shoo nyumbani kwa demu,mambo yote kwenye neutral ground.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom