Ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate

Ha ha haaaah nawe unajiaminisha miaka yote hiyo mlioachana siku moja tu ukaamua kumla,,

Ungepata rungu zuri
 
ARDHI UNIVERSITY WATU WANA PANGA MAENEO YA SURVEY , MAKONGO , MLALAKUWA MAGETO YA KUCHAKATA VITOTO VYA WATU HATAREEEEEE
 
Miaka kadhaa nyuma ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate ambaye aliniongopea kuwa hajaolewa.

Huyu binti nilisoma naye miaka minne pake Ardhi University. Tulipofika mwaka wa pili tukawa wapenzi japo kwa kuibia ibia sana.. Maana ilikuwa kukutana kimwili mara chache kwa kuwa wote wawili tulikuwa na wapenzi zetu. Ki ukweli tulikuwa tunaenjoy sana zile secret love affairs. Zile za kukutana cafeteria wakati wa chakula cha usiku, tukimaliza kula tunaenda kwenye vimbweta pale nyumba ya library ya zamani kama unaelekea Arch Plaza tunakula denda pale na kushikanashikana na wakati mwingine tunamalizana palepale.

Baada ya kumaliza chuo kila mmoja akatimkia upande wake na mawasiliano yakakatika kwa kuwa sasa kila mtu alikuwa bize na maisha yake.
Siku isiyo na jina nikiwa makumbusho nasubiri Daladala za Bagamoyo, namuona binti upande wa pili, nikamfuata na kumsalimia. Binti akafurahi na kunikaribisha kwake.

Jumapili iliyofuata mapema tu nikamcheki akanipa maelekezo, nikaanza safari.
Nilifika na alinipokea vizuri sana. Baada ya maswali mawili matatu, binti akaniambia kuwa yupo single maana yule jamaa yake walishaachana.
Tukala msosi na kisha nikakaribishwa bedroom, tukakumbushia enzi na kupumzika.

Saa mbili usiku nikiwa najiandaa kurudi, mlango unagongwa, binti akaenda kuchungulia kwa dirisha la jikoni ndipo aliporudi kwa wasiwasi na kuniambia kuwa jamaa yake amerudi, sikuwa hata na muda wa kufikiri nikashika kichwa huku nikiwaza namna ambavyo nilitumia kichwa cha chini kufanya maamuzi.
Binti akanivuta mpaka jikoni na kuniingiza chini ya meza. Niliingia na kuchuchumaa.

Kisha akarudi kumfungulia jamaa. Niliwasikia tu wanaongea huku jamaa akionekana hajajushtukia chochote.
Jamaa akaa kusikilliza taarifa ya habari ya ITV msomaji akiwa Abdallah Mwaipaya.

Baada ya muda akainuka kwenda chumbani.
Binti akaja akanitoa kule chini huku akinichekea wakati huo mimi nina hasira balaa.

Akanitoa nje nikafika barabarani na hatimaye nikafika nyumbani.

Ushauri: Wanawake ni wauaji wakubwa.
Mkuu hebu eleza upya bila kuficha hukukutana na kifiro hata kidogo..?
 
Kwani unafikiri hata wale wanaliwa viboga kwa ajili ya wake za watu huwa wanajua siku na muda? Cha muhimu ni kuwa tayari wakati wote.
Unamaanisha awe anatembea na kilainishi mfukoni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo ukome kulala kwenye nyumba za wadada ona sasa unge aibika hivi hivi
Miaka kadhaa nyuma ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate ambaye aliniongopea kuwa hajaolewa.

Huyu binti nilisoma naye miaka minne pake Ardhi University. Tulipofika mwaka wa pili tukawa wapenzi japo kwa kuibia ibia sana.. Maana ilikuwa kukutana kimwili mara chache kwa kuwa wote wawili tulikuwa na wapenzi zetu. Ki ukweli tulikuwa tunaenjoy sana zile secret love affairs. Zile za kukutana cafeteria wakati wa chakula cha usiku, tukimaliza kula tunaenda kwenye vimbweta pale nyumba ya library ya zamani kama unaelekea Arch Plaza tunakula denda pale na kushikanashikana na wakati mwingine tunamalizana palepale.

Baada ya kumaliza chuo kila mmoja akatimkia upande wake na mawasiliano yakakatika kwa kuwa sasa kila mtu alikuwa bize na maisha yake.
Siku isiyo na jina nikiwa makumbusho nasubiri Daladala za Bagamoyo, namuona binti upande wa pili, nikamfuata na kumsalimia. Binti akafurahi na kunikaribisha kwake.

Jumapili iliyofuata mapema tu nikamcheki akanipa maelekezo, nikaanza safari.
Nilifika na alinipokea vizuri sana. Baada ya maswali mawili matatu, binti akaniambia kuwa yupo single maana yule jamaa yake walishaachana.
Tukala msosi na kisha nikakaribishwa bedroom, tukakumbushia enzi na kupumzika.

Saa mbili usiku nikiwa najiandaa kurudi, mlango unagongwa, binti akaenda kuchungulia kwa dirisha la jikoni ndipo aliporudi kwa wasiwasi na kuniambia kuwa jamaa yake amerudi, sikuwa hata na muda wa kufikiri nikashika kichwa huku nikiwaza namna ambavyo nilitumia kichwa cha chini kufanya maamuzi.
Binti akanivuta mpaka jikoni na kuniingiza chini ya meza. Niliingia na kuchuchumaa.

Kisha akarudi kumfungulia jamaa. Niliwasikia tu wanaongea huku jamaa akionekana hajajushtukia chochote.
Jamaa akaa kusikilliza taarifa ya habari ya ITV msomaji akiwa Abdallah Mwaipaya.

Baada ya muda akainuka kwenda chumbani.
Binti akaja akanitoa kule chini huku akinichekea wakati huo mimi nina hasira balaa.

Akanitoa nje nikafika barabarani na hatimaye nikafika nyumbani.

Ushauri: Wanawake ni wauaji wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom