Uchaguzi 2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

Huu ndo ukweli, hatuna muda wa kumheshimu mnafiki.
 
dhan
dhana ya uchaguzi huru na haki ni pana sana mzee wangu
haiishi kwenye uhesabuji wa kura bali ni mfululizo wa matukio yote kuelekea uchaguzi
kwa mfano baba mwenye nyumba kumshawishi mtoto anaesemekana anampenda akamlipie pango mtoto wa kambo
huko ni baba kutafta huruma ya mtoto wa kambo
tume wakemee hilo na ikiwezekana asiruhusiwe kuwa sehemu ya uchaguzi
 
Kubwa jinga ww huna ushauri,ccm wote ni mashetani ukiwemo na wewe,inatakiwa kuchapwa watu kama wewe.
 
Umewakata maini!
 
Kaka Paschal huyo aliyekupa uwakili wa kumtetea yeye mwenyewe aliwahi kuwatamkia wateule wake ( wakurungezi) na dunia tukasikia kuwa " Nimekuteua mimi na ninakulipa mshahara halafu nisikie mpinzani amepita kwenye eneo lako hiiiiiii"

Kila siku idadi ya wasema ukweli inapungua tu, tumebakia na Jenerali Ulimwengu tu.
 
Hebu tujifikirishe, hakuna nchi duniani ambayo wapigakura waliojiandikisha ikafika nusu ya idadi ya watu? Vinginevyo tume imeandaa kura za maruhani kwa aliyewateua.
Kama kura zinapigwa kituoni, kuhesabiwa kituoni, na matokeo yote hadi ya urais kubandikwa ubaoni hapo hapo kituoni, hizo kura za maruhani, wataziingizia wapi?, huku kila kituo kuna mawakala wa vyama?.
P
 
Maelezo marefu irrelevant yanayotolewa na mtu kipofu wa siasa za tanzania.achana na upuuzi huu wa kujimwambafai
 
Vituo vya kupigia kura viko 88,000 . Maana yake wanahitajika wakala 88,000. Ni nani anawalipa mawakala hawa, NEC au Vyama...
Huhitaji mawakala wote hao 88,000, kwa kila kata unahitaji wakala mmoja tuu, kuna vituo hadi 6, viko eneo moja, kazi ya wakala ni kutumia tuu simu janja na kupiga picha matokeo ya vituo vyote, kisha kufanya independent tallying, na kusubiria matokeo ya NEC, numbers zisipo tally na matokeo ya NEC, kwa vile, they have solid, documentary evidence to prove, then, they have a strong case to argue.
P
 
Kaka Paskali umeshasahau kwenye uchaguzi wa marudio wa wabunge jinsi mawakala jinsi wanavyonyimwa form siku moja kabla ya uchaguzi au kutolewa nje yachumba cha kura na kurejeshwa saa nne. Hiki ndiko kitafanyika chini ya polisi.
 
Asante Kaka .. lets hope simu janja zitatumika ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…