Kuna mazingira hayaepukiki mama ana kazi nyinginezo mtoto kalala sehemu salama ya kumlaza ni chumbani
dahKiumbe chochote hatari kinapokuwa na mtoto usipanic hawezi kumdhuru. Ondoka jifanye hujamuona.
Sio nyoka tu hata tembo,wakati nikiwa mdogo nakumbuka 1994 tembo walivamia kijijini kwetu wakachelewa kurudi mbugani wakarudi asubuhi,wakaitwa wahusika maliasili wakamuua tembo mmoja,walicharuka hatari waka-attack home kwetu sasa ktk purukushani zakukimbilia ndani tukamsahau nje mtoto mdogo alikuwa na miezi 11,yule mdudu alipomfikia alimtazama huku dogo anamchekea hakumfanya chochote akarudia palepale wakati sisi tuliokuwa tunachungulia kwenye ventilation tukijikolea ndani,nakumbuka baba wa mtoto alilia kama mtoto mdogo.mkuu mshana kwanini nyoka hadhuru watoto wadogo,,.ni muda mrefu naisikia hiii nadharia lakini sijawahi pata maelezo toshelezi
alright,,,,nmekupata mkuuMtoto hana taharuki....taharuki huleta negative energy kwenye chochote na wanyama hufeel hiyo hali
duuuuhSio nyoka tu hata tembo,wakati nikiwa mdogo nakumbuka 1994 tembo walivamia kijijini kwetu wakachelewa kurudi mbugani wakarudi asubuhi,wakaitwa wahusika maliasili wakamuua tembo mmoja,walicharuka hatari waka-attack home kwetu sasa ktk purukushani zakukimbilia ndani tukamsahau nje mtoto mdogo alikuwa na miezi 11,yule mdudu alipomfikia alimtazama huku dogo anamchekea hakumfanya chochote akarudia palepale wakati sisi tuliokuwa tunachungulia kwenye ventilation tukijikolea ndani,nakumbuka baba wa mtoto alilia kama mtoto mdogo.
Hatari mkuu,kilichotokea hakuna alieamini.Mungu anawalinda sana watoto wadogo inapotokea jambo la hatari.duuuuh
Kwann?Nyoka hadhuru watoto hata siku moja labda awe wa kutumwa
Hivi ni kwa nini watoto huwa wahashambuliwi na viumbe kama nyoka, mbwa n,k😕
Nyoka na wanyam wengine wengi huweza ku sens hormon inayo zalishwa na mwili kipindi ukiwa kwenye state of emergency so wao huhisi wew ndie hatari kwao so wanaanza ku atack ili kujilindaNahisi hata mtu mzima akiwa amelala bila kujua nyoka yupo jirani nyoka hawezi kumng'ata isipokuwa atakaposhtuka ndo taharuki na hapo kung'atwa ni lazima.
Una somo lolote la nyoka kwa ajili yetu wana JF? Nyoka wa kawaida, nyoka wa kichawi na nyoka wa kimizimuNyoka hadhuru watoto hata siku moja labda awe wa kutumwa
kweli kabisa mkuuHatari mkuu,kilichotokea hakuna alieamini.Mungu anawalinda sana watoto wadogo inapotokea jambo la hatari.
Hapo una create negative vibrations kwahiyo badala ya kwenda kwa mtoto atarudi kwako full full....mwenye spidi ndio atamuwahi mwenzakeMhhh...hapo lazima nijitose kumrukia nyoka kichwani maana sitaweza kuvumilia eti nimwache nione atafanyaje.kwanza hapo huwezi kujua kama tayari kishamgonga mtoto ama ndo anaandaa sumu.
Kiumbe chochote hatari kinapokuwa na mtoto usipanic hawezi kumdhuru. Ondoka jifanye hujamuona.