Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,517 Reaction score 860,567 Apr 29, 2016 Thread starter #81 Wonderful said: Mbona huyo ni kama mende tu baba'ake? Huku kwetu Bumera huwa wanaingia ndani usiku wakati wa baridi kisha asubuhi unawafukuza kama kuku tu basi...! Click to expand... Kuna watu utasababisha ukiwaalika waje kukutembelea hawaji
Wonderful said: Mbona huyo ni kama mende tu baba'ake? Huku kwetu Bumera huwa wanaingia ndani usiku wakati wa baridi kisha asubuhi unawafukuza kama kuku tu basi...! Click to expand... Kuna watu utasababisha ukiwaalika waje kukutembelea hawaji
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,806 Apr 29, 2016 #82 boaz mwalwayo said: Uwa najiuliza kwa nn black mamba anasumu kali sana kuzidi cobra alafu black mamba mkorofi Click to expand... Bangi ndo chakula chake kikuu mkuu, unategemea nini hapo?? Maana mtu tu anayevuta bangi ni shida.
boaz mwalwayo said: Uwa najiuliza kwa nn black mamba anasumu kali sana kuzidi cobra alafu black mamba mkorofi Click to expand... Bangi ndo chakula chake kikuu mkuu, unategemea nini hapo?? Maana mtu tu anayevuta bangi ni shida.